Yanga na simba

Yanga na simba

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
932
Reaction score
1,576
pinda2.jpg
ndio kashasema hivyo
 
haya ndio washa chomoa sasa! 3 >3 baba la baba jogoo hatembei na vifaranga
 
leo nimeamini yanga wachawi jamani, mtu anazimia goli linafungwa, kila akizimia mtu goli linaingia...bahati nzuri tukafanya sala magoli yakarudi yote, acheni uchawi bwana chezeni mpira, oneni sasa kila dakika watu wanazimia bure..
 
stroke umenichekesha sana. Mimi ni Yanga lakini waliozimia idadi yao ni kubwa kuliko magoli ya Yanga! Kama utajumuisha na magoli ya Simba maybe. Hahahahahaha.......
 
Last edited by a moderator:
stroke umenichekesha sana. Mimi ni Yanga lakini waliozimia idadi yao ni kubwa kuliko magoli ya Yanga! Kama utajumuisha na magoli ya Simba maybe. Hahahahahaha.......
Wapendwa wakuu! sijawapata ilikuwaje kuzimia wachezaji au mwenye mpira ? au golikipa nai alizimia?!! tujuzeni tulombali miujiza ya soka letu!!
 
mkuu nilihesabu mpaka kufikia watatu nikalinganisha na magoli, nikaona kuna jambo hapa, mara akazimia wa nne, na watano, nikasema labda zitarudi zile tano tulizowapiga
 
Wapendwa wakuu! sijawapata ilikuwaje kuzimia wachezaji au mwenye mpira ? au golikipa nai alizimia?!! tujuzeni tulombali miujiza ya soka letu!!
mkuu mashabiki wa yanga walikua wanazimia kila baada ya goli kufungwa, yanga wachawi bwana..
 
leo nimeamini yanga wachawi jamani, mtu anazimia goli linafungwa, kila akizimia mtu goli linaingia...bahati nzuri tukafanya sala magoli yakarudi yote, acheni uchawi bwana chezeni mpira, oneni sasa kila dakika watu wanazimia bure..

Kama haitoshi mwenyekiti wao wa wazee alishasema watashinda bao 3, ila wakakosea kuroga kwani goli lilelile ilipokua linamilikiwa na wao kipindi cha pili yakarudi mabao tena matatu hahaha .... tehetehetehe.....
 
Back
Top Bottom