Morrison mlimuiba wap Aziz k mliifata Yanga Yanga ndo ya kwanza kutangaza kwamba inamtaka aAziz k sasa wewe hii umeitoa wapi ndugu yetu ngoja na waja wwngone wataongezeaNimewaza baadhi ya matukio kati ya simba na Yanga katika kuwafurahisha washabiki wake .
Nani kati Simba na yanga
nga ni timu ya matukio .. anayefanya matukio ya kumkomoa mwenzake zaidi ili awafurahishe wapenzi..
Nani anafikri ideas , nani anazifuata haya kama ni kwa mtindo mwingine..
Yupi anaweza kuumiza kichwa, yupi anaweza zaidi utani wa Jadi ili atengenze headline, vijiwe nk ..viiongozi wa taasisi wa kutafuta MEDIA attention....
Simba alipomtaja PHIRI , yanga nao pia eti wakamtaka,.... simba ilipomtaka Aziz KI yanga pia wakamtaka.
Manara alipoondoka simba ....Yanga wakamchukua.
Senzo alipondoka simba , Yanga wakamchukua...
Morrison naye Yanga wakamchukua...
Simba ilipoanza mabadiliko ( transformation ) Yanga nao wakaanza....
Simba ilipoanza SIMBA DAY , Yanga nao wakaanzisha week ya wananchi....
Simba walipotaka kumrudisha Clotous Chama, ..eti YANGA nao wakaingia vitani....
Hii inakupa taswira gani..?
Yooote Wanaweza kukubishia Lakini La 'Yanga dei' hawachomoi...!
Wamevumilia weeee Kwa Miaka 12 huku Wakibeza 'Simba Dei' ....! Mwishoooni wakang'amua hapa Simba na Mzee Dalali wametupiga Bao hakuna budi KUIGA.....!Ndo hii Yanga Dei unaiona Sasa...!
Na ambayo Zanaco Mwaka jana Na Vipers mwaka huu Wamekuja kuchana Bikra Ya Siku Ya Wananchi Mapemaaa kabla hawajaitwa wakongwe kwenye matamasha Ya Wiki Yao.
Yangaaaaa BYUTI BYUTI....!
Hahahaaa!! Goodnight!Yooote Wanaweza kukubishia Lakini La 'Yanga dei' hawachomoi...!
Wamevumilia weeee Kwa Miaka 12 huku Wakibeza 'Simba Dei' ....! Mwishoooni wakang'amua hapa Simba na Mzee Dalali wametupiga Bao hakuna budi KUIGA.....!Ndo hii Yanga Dei unaiona Sasa...!
Na ambayo Zanaco Mwaka jana Na Vipers mwaka huu Wamekuja kuchana Bikra Ya Siku Ya Wananchi Mapemaaa kabla hawajaitwa wakongwe kwenye matamasha Ya Wiki Yao.
Yangaaaaa BYUTI BYUTI....!
Simba wameiiga Yanga kuanzisha timu ya mpira,Yanga imezaliwa 1935 baada ya hapo Simba nao wakaiga wakaanzisha timu yao.Yooote Wanaweza kukubishia Lakini La 'Yanga dei' hawachomoi...!
Wamevumilia weeee Kwa Miaka 12 huku Wakibeza 'Simba Dei' ....! Mwishoooni wakang'amua hapa Simba na Mzee Dalali wametupiga Bao hakuna budi KUIGA.....!Ndo hii Yanga Dei unaiona Sasa...!
Na ambayo Zanaco Mwaka jana Na Vipers mwaka huu Wamekuja kuchana Bikra Ya Siku Ya Wananchi Mapemaaa kabla hawajaitwa wakongwe kwenye matamasha Ya Wiki Yao.
Yangaaaaa BYUTI BYUTI....!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yooote Wanaweza kukubishia Lakini La 'Yanga dei' hawachomoi...!
Wamevumilia weeee Kwa Miaka 12 huku Wakibeza 'Simba Dei' ....! Mwishoooni wakang'amua hapa Simba na Mzee Dalali wametupiga Bao hakuna budi KUIGA.....!Ndo hii Yanga Dei unaiona Sasa...!
Na ambayo Zanaco Mwaka jana Na Vipers mwaka huu Wamekuja kuchana Bikra Ya Siku Ya Wananchi Mapemaaa kabla hawajaitwa wakongwe kwenye matamasha Ya Wiki Yao.
Yangaaaaa BYUTI BYUTI....!
Angalau kuna wawili kuliko wote kuwa mbumbumbuNB:yanga wenye akili ni kikwete na baba yake manara tu wengine wote kwa udhamini wa lucy aymel.