Yanga mtueleze suala la Niyonzima

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
hivi karibuni tiboroha alivunja mkataba na Niyonzima na kutomkabidhi barua ni bora mtujulishe mashabiki hilo sakata .
 
Yanga wanapaswa kufanya hivyo kwa Haruna,Bartez,Munishi,Kessy,Cotton na Amissi.Ngoma pia na Boussou wote wauzwe sio kufukuzwa manake tutakosa hela
 
Back
Top Bottom