Una maono sana mzee..!!Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga.
Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania
Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...www.jamiiforums.com
Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita.
Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao natangulisha pongezi kwa club ya yanga kwa hatua walofikia pia kwa mashabiki wa yanga
Bila kuwasahau watanzania wote wapenda mpira.
Nafasi ya yanga bado naona ni kubwa sana katika kutwaa kombe hili maana hari waliyo nayo ni kubwa mno.
Fainali bado na mpira huwa una maajabu yake, usishangae Yanga FC ikapindua vizuri tu meza ugenini 03/06/2023 na kuwa Mabingwa wapya wa CAFCCL 2023.Yagangwe yajayo...
Masandawana vs waydad pia n funzo kuhusu mpiraFainali bado na mpira huwa una maajabu yake, usishangae Yanga FC ikapindua vizuri tu meza ugenini 03/06/2023 na kuwa Mabingwa wapya wa CAFCCL 2023.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]watafika mbaaliBahati mbaya wameshindwa ila wanakitu
Peleka ujinga wako huko ulitumia hisia sana kufikirNi muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga.
Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania
Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...www.jamiiforums.com
Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita.
Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao natangulisha pongezi kwa club ya yanga kwa hatua walofikia pia kwa mashabiki wa yanga
Bila kuwasahau watanzania wote wapenda mpira.
Nafasi ya yanga bado naona ni kubwa sana katika kutwaa kombe hili maana hari waliyo nayo ni kubwa mno.
Unaota mchana wewe amka chakubangaFainali bado na mpira huwa una maajabu yake, usishangae Yanga FC ikapindua vizuri tu meza ugenini 03/06/2023 na kuwa Mabingwa wapya wa CAFCCL 2023.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbali wapi? UEFA?[emoji1][emoji1][emoji1]watafika mbaali
Unasemaje Mbumbumbu?Unaota mchana wewe amka chakubanga
Chakubanga wewe toka usingiz wa pono
Mbumbumbu anapomfundisha Bingwa wake Yanga FC aliyebeba makombe matatu kwa miaka miwili mfululizo [emoji23]Chakubanga wewe toka usingiz wa pono
Hujui kitu wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]watafika mbaali
[emoji3526][emoji3526][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waarabu hawana meza wana majamvi na mabusati tu.Fainali bado na mpira huwa una maajabu yake, usishangae Yanga FC ikapindua vizuri tu meza ugenini 03/06/2023 na kuwa Mabingwa wapya wa CAFCCL 2023.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app