DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Yule dada amefanya homework yake na anaizidi safu nzima ya management ya Yanga. Halafu ana elimu inayoeleweka kwa hiyo anafundishika.Hebu nitajie hao sports processionals wa Simba.
Punguza sukari kaka maana hadi unachapia.Hebu nitajie hao sports processionals wa Simba.
aisee wewe vipi hao watu 19 kati yao 10 ni benchi la ufundi na 9 ni viongozi na wote wametajwa mpaka majina,una shida gani kwenye akili yako?Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji.
Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila natumaini hawapeleki makomandoo kama wale waliovamia chumba cha Club Africaine katika game ya kwanza.
Najua Yanga wanajitahidi sana kujua siri ya mafanikio katika game hizi za Africa na hilo ni jambo jema, ila ugomvi na fujo siyo njia nzuri na watapelekea kufungiwa na hata nchi kuadhibiwa. Ushauri wangu, viongozi wa Yanga wajishushe watoe kauli ya wazi kuomba ushirikiano na Simba. Juzi tumeona mashabiki wengi wa Yanga kwa mara ya kwanza wamekiri kuwa Simba wamewaacha mbali katika game hizi na hii ni ishara nzuri. Naamini ushirikiano huo unawezekana kabisa kwa maslahi ya taifa na utafungua ukurasa mpya katika boli la Tanzania.
NB. Naamini mafanikio kwenye game za Africa na duniani kote yanaanzia kuwa na sports professionals katika management wanaoelewa jinsi ya kuanzisha na kujenga professional relationships na taasisi mbalimbali za michezo na za biashara. Yanga wangeanzia hapo kwanza.
wafanye fujoo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watatoomb*wa nakwambiaKatika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji.
Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila natumaini hawapeleki makomandoo kama wale waliovamia chumba cha Club Africaine katika game ya kwanza.
Najua Yanga wanajitahidi sana kujua siri ya mafanikio katika game hizi za Africa na hilo ni jambo jema, ila ugomvi na fujo siyo njia nzuri na watapelekea kufungiwa na hata nchi kuadhibiwa. Ushauri wangu, viongozi wa Yanga wajishushe watoe kauli ya wazi kuomba ushirikiano na Simba. Juzi tumeona mashabiki wengi wa Yanga kwa mara ya kwanza wamekiri kuwa Simba wamewaacha mbali katika game hizi na hii ni ishara nzuri. Naamini ushirikiano huo unawezekana kabisa kwa maslahi ya taifa na utafungua ukurasa mpya katika boli la Tanzania.
NB. Naamini mafanikio kwenye game za Africa na duniani kote yanaanzia kuwa na sports professionals katika management wanaoelewa jinsi ya kuanzisha na kujenga professional relationships na taasisi mbalimbali za michezo na za biashara. Yanga wangeanzia hapo kwanza.
hili ni swali la mtuu mwenye njaa nenda kale MIHOGOHebu nitajie hao sports processionals wa Simba.
Wanakanusha hakuna makomandoo ila wamekusanya wazee wa Bagamoyo kwenda kupeleka mauzauza kule. Yanga wanafanyaja yale yale miaka yote na kutegemea matokeo tofauti.wafanye fujoo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watatoomb*wa nakwambia