mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!!Duh mbona tunaaminishwa kuwa hawa jamaa pamoja na ndugu zao Tp_Mazembe wanampunga wakutosha iweje leo wanalia kinyonge ivo