Mpaka hatua hii Yanga ndio timu pekee iliyotolewa Kihalali kwa kufungwa goli 3 kwa 1 ushindi ambao haukuwa na utata wowote the rest zimetolewa kwa mapungufu ya waamuzi ikiwamo APR na Singida FG
Hayo mashindano hatukuyatilia maanani.
Ndio maana tukaamua kuwatumia vijana wadogo ili kukuza vipaji vyao vya mpira
Vijana akina
Mauya
Kibwana
Romalisa
Mzimze
Kibabage
Moroko
Skudu
Msheri
Shekan
Nk.