Yanga kumlipa Yikppe law kuvunja mkataba

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Yanga imetakiwa kumlipa Yikpe $9000 na kumlipa mshahara wa miezi 3 ili kuvunja mkataba
 
Wakati mwingine nikiona wale viongozi wa Yanga na maamuzi wanayofanya ni kama hawajawahi hata kusoma kabisa shule
 
Suala la kuvunja mkataba sio la ajabu sana lipo dunia nzima inatokea unamsajili mchezaji anakuja kuwa kinyume na matarajio ya timu. Kama namba zipo sahihi hiyo ni kama TZS 27M japo mishahara ya miezi mitatu haijajumlishwa hapo. Kwa uwezo mdogo alioonyesha Yikpe hiyo ni gharama ndogo sana kuuvunja huo mkataba. Yanga inatakiwa imlipe haraka sana asije akapata wajanja wakamshtua adai pesa ndefu.
 
Back
Top Bottom