Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,901
- 14,378
Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia kushuka dimbani nchini Nigeria na kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya wapinzani wao Plateau katika ligi ya mabingwa Africa.