Yanga katika Picha : Fainali Kombe la Kagame 2012

Yanga katika Picha : Fainali Kombe la Kagame 2012

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
484541_351592484916085_416446724_n.jpg
 


_MG_4594.JPG

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa APR.
_MG_4568.JPG

Kipa wa APR, Ndoli Jean Claude akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake. Kusho ni mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza.
Pg24..JPG

Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Hamisi Kiiza, akimtoka beki wa APR, Ngabo Albert katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0.
_MG_4504.JPG

Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi akimtoka beki wa APR.
_MG_4051.JPG

Mrisho Ngasa akimtoka beki wa AS Vita
_MG_4111.JPG

Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche akimtoka beki wa AS Vita.
_MG_4255.JPG

Mashabiki wa Azam wakiishangilia timu yao baada ya kuingia fainali ya kagame
_MG_4191.JPG
​
Mshabiliaji wa Azam, Mrisho Ngasa akimtoka beki wa AS Vita, Pambani Makiadi katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ambapo Azam imeshinda kwa mabao 2-1 na kuingia fainali ya michuano ya kombe la Kagame kwa kupambana na Yanga Julai 28.​

​
 
Tatizo simba mashindano ya kimataifa yanawashinda sana,hawayayewezi wamezoea kubebwa na mbeleko ya marefa wa bongo
 
Back
Top Bottom