Yanga jiondoeni kwenye Ligi msimu huu, Waachane TFF wenyewe na Simba

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
638
1,902
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu

Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford

Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba

Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada

Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba

Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu

Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF

TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi

Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,

Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
 
Nani kakudanganya kuwa mkijiondoa mambo hayatokwenda?
Mpira ni Simba na Yanga, Hata wewe ni mshamba unaeshabikia timu za Dar es Salaam kariakoo

Shabikia timu yako ya huko mkoani kwanza

Bila Yanga na Simba hakuna mapato ya ndani ya TFF
. Simba na Yanga ndio kila kitu kwenye Ligi kuu

Bila simba na Yanga, Tanzania hakuna ushabiki
 
Sawa mshamba mwenzangu
 
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu

Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford

Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba

Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada

Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba

Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu

Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF

TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi

Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,

Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
Huelewi unachokisema...
 
Sawa mshamba mwenzangu
Ukweli umekuuma na kukuumiza

Kwanini mnadharau timu za mikoa yenu?

Simba na Yanga ni za watu wa Dar

Nyie ndio wale mnaowakana wazazi wenu kisa wana maisha màgumu na duni, unaogopa kuwaambia watu huyu ni Mama au Baba yangu kisa umaskini

Shabikieni timu za mikoa yenu

Usimba na Uyanga utaondoka pale watu wa Mikoa ni mtakapojitambua

Simba akijitoa au Yanga hapo hakuna ushabiki tena

Mpira wa Tanzania ni Simba na Yanga timu za kariakoo za wazee wa misuli na makubasi
 
Ewe uto uliebarikiwa uponkino, unawashauri mazuzu wenzio wajitoe ligini unamkomoa nani? Means timu likae bila kucheza ligi hao kina dada joy utawalipa matako yako? Aaf mwisho unasema washamba wote wa bara wanashabiki Lunyasi na gongo wazi! umejipima kichwani ziko sawasawa?
 
Yaan wajiondoe kwa sababu ya Mpumbavu haji? Haji atabeba msalaba wake
 
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu

Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford

Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba

Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada

Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba

Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu

Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF

TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi

Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,

Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
Huu ni upumbavu mkubwa!
Kwa hiyo Simba na Yanga wako juu ya sheria?
Lazima tuende kwa utaratibu
 
Simba anaingiaje kwenye upuuzi wenu mkuu, yaani unataka watu wafanye makosa waachwe tu sasa kuna haja gani ya kuwa na wasimamiaji?
Tulieni wahalifu washughulikiwe ili kuliacha soka na watu wenye weledi
 
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu

Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford

Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba

Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada

Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba

Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu

Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF

TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi

Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,

Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
Maana yake unashauri Yanga waache kucheza mpira?

Unataka wawe wanacheza wao kwa wao na kina Hersi ?
 
Ukweli umekuuma na kukuumiza

Kwanini mnadharau timu za mikoa yenu?

Simba na Yanga ni za watu wa Dar

Nyie ndio wale mnaowakana wazazi wenu kisa wana maisha màgumu na duni, unaogopa kuwaambia watu huyu ni Mama au Baba yangu kisa umaskini

Shabikieni timu za mikoa yenu

Usimba na Uyanga utaondoka pale watu wa Mikoa ni mtakapojitambua

Simba akijitoa au Yanga hapo hakuna ushabiki tena

Mpira wa Tanzania ni Simba na Yanga timu za kariakoo za wazee wa misuli na makubasi
Wewe unajuaje kama huyo uliyemquote sio mtu wa Dar? Watu wa Dar mna nini cha kusimama na watu wa mikoani, watu masikini na wavivu wasiokuwa na lolote ni hao wazaliwa wa Dar kama ulikuwa hujui.

75% ya hao unawaona wanatamba Dar ni raia wa mikoani na hata hao wanaoongoza hizo (Simba & Yanga) team 95% ni watu wa mikoani, mtu wenu mzaliwa wa dar (manara) ndio huyo ni chawa wa watu wa mikoani, unataka kusemaje?.

Mimi nimekaa Dar 15 nikitokea mkoani kuna mshenzi gani mzaliwa wa Dar ataongea mbele yangu hapa Dar??

Wewe zungumzia maswala ya mpira, hayo mambo ya mikoani na Dar achana nayo. Stress zako za ufukara peleka kwemu.
 
Yaani Summary Ya Kinachotokea unaweza kuiweka hivi.

' Manara ajipiga Matukio halafu amponza Eng. Hersi'....!

Hilo Zigo sijui Mtalituaje....wenzenu Simba Walilia timing Wakalitua...!
 
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu

Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford

Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba

Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada

Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba

Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu

Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF

TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi

Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,

Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
Kwa hiyo kujitoa kwenye ligi ndio akili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom