Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Hili ninalosema ni jambo ambalo wengi hawatataka kukubaliana nalo lakini ntalisema ili kuokoa jahazi katika soka la Tanzania.
Mimi binafsi ni mpenzi wa mpira wa miguu na michezo kadhaa toka mwaka 1990. Naufaham mpira wa tz kwa kiasi flan na huwa sipendi kuwa mnafiki kuwa siwezi shabikia mpira wetu nikashabikia wa england, spain n.k though huko pia nina team nazipenda.
Ni muda mrefu klabu ya Dar Young African imekuwa ikijitahidi kusajili wachezaji wa kimataifa kwa gharama kubwa magazetin n.k ingawa ukweli pia kuna wachache tunaufaham.
Ni jambo jema kuwa na team nzuri na tunaiombea yanga iwe team nzuri. Lakin ninalotaka kusema ni kuwa gharama inazotumia yanga kusajili basi ziwe ni chanzo cha ushindi uwanjani na si tena kutumia pesa nying ili kushinda.
Jana kwenye uzi wa live updates nlisema kuwa kuna mdau alinambia Yanga itashinda bao nne. Huyo alikuwa ni mmoja ya wachezaji wa team ya JKT Ruvu aliyesema bila kusita kuwa wanaingia uwanjani tayari wakiwa wanajua kuwa Yanga inatakiwa ishinde nne na kuwa iwe iweje lazima mchezaji flan naye ashinde ili awe na goal nying pia.
Mchezaji huyo alinambia kuwa anajua kwa nini yanga itashinda nne na yeye hana namna ya kuzuia kwa kuwa anajua wahusika ni akina nani. Aliomba nisimtaje ila niwaambie wana kandanda kuwa matokeo tayari yanajulikana hivyo wasiwe na mshawasha na pambano hilo.
Nliumia sana kwa sababu napenda mpira wa tanzania ukue. Manji anatuharibia soka letu kwa kutafuta utukufu.