Yanga imetutia aibu leo

Yanga imetutia aibu leo

Yani low performance tukiwa nyumbani mechi muhimu zaidi kushinda lakini Cha kushangaza tumecheza Kama tupo ugenini as if tumesha qualify daaaah inauma Sana lakini ndiyo mpira una matokeo matatu
Ungeumizwa na waliouawa Oktoba 2025.
Ungeumizwa na ukosefu wa ajira unaosababishwa na Wazanzibari kunyang'anya ajira zetu serikalini.
Ungeumizwa na uwepo wa mfumo dhalimu unaoteka watu, kuwatesa, kuwapoteza na kuwaua.
Ungeumizwa na katiba ya hovyo ya mwaka 1977
 
IMG-20261128-WA0012.jpg
 
Tulia chawa, tulisema muda utatoa majibu kuhusu Fadlu wenu. Unafeli katika kuchagua kocha sahihi halafu unafanya maamuzi ya kumleta Fadlu eti ndiye wa kuokoa Yanga. Fadlu kwa nilichoshuhudia leo, Yanga haendi robo fainali.
 
Tulia chawa, tulisema muda utatoa majibu kuhusu Fadluh wenu. Unafeli katika kuchagua kocha sahihi halafu unafanya ma'am maamuzi ya kumleta Fadluh eti ndiye wa kuokoa Yanga. Fadluh kwa nilichoshuhudia leo, Yanga haendi robo fainali.

Sasa kosa la kocha lipo wapi hapo
 
Tupo kundi la kifo

Cha ajabu hatuna kabisa kasi

Huko kwao itakuwaje

Ila mudaz katugharimu sana

Ndiyo mchezaji pekee waliyejua hana madhara walikuwa wanampa free kabisa lkn sasa anayoyafanya kama ya nbc tene viwanja vya jangwani huko mwashitolyo
 
Kubadilika badilika kuna gharama zake. Kuna wachezaji pale Yanga hawakupaswa kuachwa.
 
Back
Top Bottom