Yanga hatuna kocha !!!

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
55
Reaction score
163
Sina Leseni Ya Ukocha Lakini Mpira Naujua Vizuri Tuu, Ukweli Ni Kwamba YANGA Hamna Kocha Pale,
Mchizi Hana Mbinu, Mchizi Hajui Kuusoma Mchezo, Mchizi ndo Atakuwa Chanzo cha Yanga Kutofika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Africa,

Halafu Mchizi Muda Wote Anafokafoka Tuuu.

Na Nafikiri Viongozi wa YANGA watakuwa Wanaangalia A, A, A Kwenye Vyeti, Maana Huyu Ni Kocha wa Tatu sasaa Kama Sikosei Timu inatepweta, Viongozi wa YANGA wanatakiwa Kujua kwamba "Teaching is an Art" Unaweza Kuwa na Vyeti Vizuri Lakini Usiwe Mwalimu Mzuri.

Kuna Mtu Yupo Simba Ana jicho Zuri La Kuona Makocha, Angalia Fadlu Davis, Yule Mvuta Bhangi na Huyu Steve Barker Wote Wazuri.

Simba Akipata Namba 9 Katili Baasi Kazi imeisha.

Swali; Kwanini Yanga Walimuacha yule Kocha Aliyetoka Singida Black Stars "Miloud" ( kama Nitakuwa Sijakosea Jina ) Mfupi halafu Mpole hivii,
Kwanini Walimuacha !? Mbona Timu ilikuwa inacheza Vizuri tuu !??
 
Kwamba una uhakika kabisa kwa asilimia 101 wewe unaujua mpira kuliko viongozi wote wa pale utopoloni?

Yani wao walichokuzidi ni wana madaraka tu ila mpira unaujua kuliko wao 😅
 
Maboga mabichi atajua hajui wakati huu, hawa ndio Wabongo wamesahau ushindi wa ngao ya jamii.
Walivyokua wana msifu na kumpamba. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…