Yanga hakuna bure tena?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
18,610
23,067
baada ya kutuonjesha ile bure tunataka tupewe tena nafasi ya kuja kuwashangilia kwa wingi,au mna uhakika wa kupigwa tena ili tusije kwa wingi,sema kwa tizi na magazeti yalivyoimaliza hiyo mechi itashangaza kama mtapoteza,
labda tuwatie moyo kazeni mpate point tatu mpate pa kuanzia!
 
Back
Top Bottom