voda=simba
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.
Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?
wewe ni simba au yanga?kwanini wakubali ?sio yeye bali kamati nzima hawakubaliani na hilo,kesho mtu atakuja na hela atasema badilisha dini jee utabadili din:A S 465:i?Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.
Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?
umetumwa na shafii au edoWatu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.
Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima wakubaliane na matakwa ya Mdhamini siyo kuchukua pesa zake tu.
Kama rangi hawaipendi, mbona mzee Akilimali pazia zake, makochi yake na vitambaa vyote ni vyekundu, nenda kazione kule banda la uwani anapoishi nyumbani kwa marehemu mzee Matunda Ng'ozoma. Sasa mbona huyo huyo mzee anasema hataki hiyo rangi mpaka afe, je huu siyo unafiki?
Hapo kwenye blue huyo mzee jina lake na akili zake ni tofauti kabisa! ana fikra mgando! wakati wa kumtoa Nchunga alisema ana milioni 700 za usajiri.
Jana amesema ni bora yanga wahamie ligi ya ZNZ ama wacheze bao kuliko kuvaa nembo nyekundu ya vodacom!