HARAKATI za uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge cha jimbo la Busanda zimeanza kwa staili ya aina yake baada ya katibu mkuu wa CCM, Yusuph Makamba kuvitahadharisha vyama vingine vya siasa kuwa viende kwenye kinyang'anyiro hicho vikijua kuwa chama hicho tawala ni mshindi, akisema "CCM ni kama Yanga"...
"Jimbo ni mali ya CCM na tutalitetea kama Yanga walivyotetea ubingwa wao kwa kutwaa kombe kabla ya ligi kumalizika. Wanachama wakae mkao wa kugombea kiti cha jimbo hilo," alisema Makamba.
"Hili ni jimbo letu CCM hivyo tutalitwaa kama Yanga," alitamba katibu huyo, ambaye alilaumiwa sana baada ya CCM kushindwa kulitwaa jimbo la Tarime
chanzo; Mwananchi Read News
Naona kabisa kuna haja ya kufanya research kwa nini watu wote wenye mafanikio ni YANGA DAMU? au kuwa yanga ni sign ya miakili kibao? nakuibia siri obama naye yanga damu.
Kazi ipo, mtapiga kelele weeeee, lakini mambo yote ni Wekundu wa Msimbazi, Simba.
Pole mtani Simba ishakuwa nyanya siku hizi kiwango cha mbagala united, du hivi ligi bado inaendelea?juzi niliwasikia watani wanashangilia
Yani Simba ni kama Mbagala United?, Mkuu Burn siku tukikutana Yebo Yebo hata kama mmeshakuwa bingwa mtafungwa. Hasira za kukosa ubingwa lazima ziwashukie.
Basi kama yanga ni CCM basi
Simba ni CUF
Kagera ni Chadema
n.k
Mi nadhani Makamba alichemka kutoa mfano kama huo nanivyo jua mimi makamba ni simba ama..
Kesho atasema CCM ni Wakrituhajui anapo tamuka simba unawagusa nusu ya watanzania au ndiyo changamoto yenyewe.....
au aliimanisha YANGA NI MAFISADI KAMA CCM MAANA WANAZAMINIWA NAFISADI
Na wengi wao ni Mafisadi ndiyo maana wana mafanikio unajua pesa haramu inamafanikio kwa sana tu...Hivi na RA nae ni yanga ila sia mini kama obama ni Yanga...Timu simbaNdo maana yake na hata CHADEMA,CUF,NCCR,UDP,TLP you mention viongozi wake wakuu ni yanga damu, nyie simba hamna pakutokea kila kiongozi wa nchi hii ni yanga. usisahau wafanya biashara maarufu wote ni yanga Mengi, Manji you name! Naona kabisa kuna haja ya kufanya research kwa nini watu wote wenye mafanikio ni YANGA DAMU? au kuwa yanga ni sign ya miakili kibao? nakuibia siri obama naye yanga damu.
Kwanza tunafukuza kocha, Hasira ndiyo maana nilichemka...vipi waume zenu wameshatua (Al Ahly)...............................mtajuta kukutana nao au msipeleke timu kama kawaida yenu tetetetetetetetetetetetetetetetete..Du kaazi kwelikweli hapo timu lenu likiboronga mtamlaumu nani? maana mashabiki hata kuandika hawajui, kweli Simba ni nyanya.
Kwanza tunafukuza kocha, Hasira ndiyo maana nilichemka...vipi waume zenu wameshatua (Al Ahly)...............................mtajuta kukutana nao au msipeleke timu kama kawaida yenu tetetetetetetetetetetetetetetetete..
Kufukuza kocha ndio suluhisho nawashauri uzeni na timu yote kwa Azam united muanze upya, hao vibonde wa Misri tunakwenda kuwachinjia uwanja mpya wala usihofu huku hakuna hujuma kama kwao..pole hivi Simba wanashiriki mashindano gani tena?
Sawa mkuu yetu macho na masikio lkn msije tafuta visingizio oooooooh!! hawa jamaa walishazoea kutumia viwanja vizuri ndiyo maana wametufunga, eti hujuma kwani nyie hamuwezi fitna za michezo tumie pesa za kifisa kufanya hujuma, kwanza nini kiliwafanya mng`ang`anie uwanja wa uhuru au ilimuweze kuchimbia matunguli yenu vizuri....nawatakia ushindi wa 2 -1 ili tubanane hapa, tunashiriki mashindano gani, kwani lazima kila timu tushiriki zamu yenu lkn aibu tu..Kufukuza kocha ndio suluhisho nawashauri uzeni na timu yote kwa Azam united muanze upya, hao vibonde wa Misri tunakwenda kuwachinjia uwanja mpya wala usihofu huku hakuna hujuma kama kwao..pole hivi Simba wanashiriki mashindano gani tena?
Simba Nguvu moja upo hapo kakaEagle is not A Chicken!!
YANGA IMARA