Yanga bana....

Yanga bana....

psy

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
40
Reaction score
4
Wakati wapinzan wa yanga national al ahly waki2ma wawakilishi kuja kutazama mech kati ya yanga na hao wa comoro,klabu ya yanga imethibisha kua haiwezi kutuma watu wake wa ufundi kwenda kuwatazama wapinzan wao wanavocheza,badala yake wanaomba ubalozi wa tz nchin misri na baadhi ya wa tz waishio cairo wawa2mia za al ahly ili waweze kuwaangalia....jaman wadau kweli klabu kongwe kama hii inashindwa ku2ma mtu kwenda cairo jaman!aiseeeeee
 
Watume mtu ili iweje? Cha muhimu ni kutaffuta video yao ya mechi mbili za mwisho basi



Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mbona mzee Akilimali alishaenda lakini hakufika Cairo, ungo uliishiwa mafuta kwahiyo safarii inapangwa tena.
 
Al ahly wali2ma watu wao ili iweje...?
 
Back
Top Bottom