Kwa mfano wako huu, basi hata walimu waanze kulipwa mishahara na posho nono kama zile za wabunge.
Maana wanafanya kazi katika mazingira magumu, ukilinganisha na wabunge ambao kazi yao kubwa ni kugonga tu meza na kuitikia 'ndiyooooooo'!!
NB: mshahara kwa mchezaji unatokana na yeye mwenyewe kukaa mezani na mwajiri wake, halafu wanafanya makubaliano.
Duniani kote mishahara ya wachezaji huwa hailingani. Kila mchezaji hulipwa mshahara kutokana na mkataba wake alioingia na club. Hakuna njia ya mkato kama hiyo ya Fei Toto.
Kumbe morrison yupo kwao mpk leo? Kaenda paternity livu nini?
Fei toto anajimaliza kwa tamaa zake mwenyewe. Ana kiwango kizuri, lakini amekosa elimu ya kujitambua kama mchezaji wa kulipwa.Tate Mkuu
Kizuri chajiuza, yanga wasipoiona thamani fei atawatoka ilhali bado wanamtaka
Huyafatilii na hapa kimekuleta nini haswa? Mbumbumbu hajawahi kuwa serious tangu dunia iumbwe [emoji2]Kumbe kesho mna mechi, mambo ya dunia ya 3 siyafuatilii sana. Tuko huku Dubai Vs Russia
Wewe baki kuwa chawa wa CCM Mambo ya mpira yana taratibu zake!!.Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M
Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe
Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Wewe nae sijui unaandika nini,huo mkataba Feisal hakuuona wakati anasaini?Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M
Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe
Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Mchezaji gani yule?, Angekuwa na ubora wake Tp wasingemuacha... Ngada wew๐Mmeanza kupopoana? sisi bado hatujamaliza kutangaza wachezaji zimebakia dakika kadhaa tutetemeshe nchi
Wewe Mama hebu tueleze mshahara wako shingapi kama hiyo 3M unafiksha na ni ndogo?Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M
Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe
Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Walimuacha wapi wakati alikuwa timu huko lebanonMchezaji gani yule?, Angekuwa na ubora wake Tp wasingemuacha... Ngada wew๐
Wewe baki kuwa chawa wa CCM Mambo ya mpira yana taratibu zake!!.
Wewe nae sijui unaandika nini,huo mkataba Feisal hakuuona wakati anasaini?
๐ ๐ ๐ Huna unachokijua gobole hilo lilikuwa kwa mkopo huko na akarudi mazembe bado Simba imemchukua kwa mkopo.... Tupe takwimu zake ewe kundu la msimbazi ...Walimuacha wapi wakati alikuwa timu huko lebanon
Punguani wewe
Wewe Mama hebu tueleze mshahara wako shingapi kama hiyo 3M unafiksha na ni ndogo?
Feisal si alisaini Mkataba mwenyewe kwani alishikiwa Bunduki ajaze??
Sawa gobole linaua utamfananisha na msukule kambole? halafu alimzidi bwanako mayele kwa ufungaji 20/21 kazana kulia๐ ๐ ๐ Huna unachokijua gobole hilo lilikuwa kwa mkopo huko na akarudi mazembe bado Simba imemchukua kwa mkopo.... Tupe takwimu zake ewe kundu la msimbazi ...
Sawa gobole linaua utamfananisha na msukule kambole? halafu alimzidi bwanako mayele kwa ufungaji 20/21 kazana kulia
Oyeee ya nyoko ๐คฃ๐คฃHahaha yanga oyeee
Rubbish ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎMayele Ataendelea Kuwatia Tu Mtake Atawatia Msitake Atawatia Tu [emoji23]
Angekua anafunga kila mechi si angekua top scorer?Yanga wanashangaza sana
Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M
Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe
Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Mnasherekea droo kweri- kweri ๐Kumbe kesho mna mechi, mambo ya dunia ya 3 siyafuatilii sana. Tuko huku Dubai Vs Russia