Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Hatuumwi sisi na ndio sababu tupo kimya nyie ndio mnahangaika na habari za Yanga kucheza na Pyramids.

Ila mtapona Mkuu.
Kumbe mwaka jana nyinyi ndo mlicheza na kina nkana na tp mazembe??mana mlihangaika sana na habari za simba kucheza nao kuliko hata mashabiki wa simba...vipi mlikuwa mnaumwa??...tulia mtani mechi ni tarehe 27,malipo ni hapahapa duniani😂😂😂😂...asubuhi na mapema nipo zangu taifa na jezi yangu kushangilia waarabu wa pyramid...waarabu ndugu zetu kabisa wale lazima tuwape support...PYRAMID WAJE TU NA WACHEZAJI,MASHABIKI NA MAKOCHA WATATUKUTA HAPAHAPA BONGO...MTANI NAJUA INAUMA ILA TUVUMILIANE TU MTANI
 
Ee Mungu kwa nn umeruhusu hili litokee?sura zetu tutazificha wapi na hawa mikia
Kudaaadeki tano hizoooo. Nyambaafff zao yanga. Mlitutesa sana na kutusema. Mioyo yetu mkaijaza presha hadi Sasa hatujapona
 
Pyramid timu mbovu waarabu koko hawana uwezo hata wa kutoa sare na Yanga. Yanga hawawezi kufungwa na timu ya daraja la 2


Usiwachukulie poa PMD...wana majembe kutoka Argentina na isitoshe waarabu pia wako vizuri sana...tena nasikia hawa jamaa wakishika mpira refa hapigi filimbi mpaka mchezaji wa timu pinzani ajiangushe 😱
 
Yaani kwa kumbukumbu zangu toka nimeanza kuishabikia Yanga (47 yrs now) hatujawahi kuitoa timu ya Misri
 
Hawa pyramid ni vilaza tu kwanza wanachana sana mikeka kwenye direct win.hvyo namatumaini kuwa yanga watasonga mbele
 
Wanaihujumu yanga mkuu...hao wamepewa hela na simba ili waihujumu yanga...
timu kali Misri Ni Zamalek na Al Ahly , nyingine zilizobaki ni mbovu, hiyo pyramid hata wewe umeijua mwaka huu haina historia yoyote imebahatisha kucheza na timu kubwa kama Yanga
 
Wanaihujumu yanga mkuu...hao wamepewa hela na simba ili waihujumu yanga...
haha naona simba mnalazimisha pyramid ionekane timu kubwa wakati ni katimu kadogo tu , timu kubwa misri ni zamalek na al ahly tu, nyingine mbovu tu
 
Kumbe mwaka jana nyinyi ndo mlicheza na kina nkana na tp mazembe??mana mlihangaika sana na habari za simba kucheza nao kuliko hata mashabiki wa simba...vipi mlikuwa mnaumwa??...tulia mtani mechi ni tarehe 27,malipo ni hapahapa duniani😂😂😂😂...asubuhi na mapema nipo zangu taifa na jezi yangu kushangilia waarabu wa pyramid...waarabu ndugu zetu kabisa wale lazima tuwape support...PYRAMID WAJE TU NA WACHEZAJI,MASHABIKI NA MAKOCHA WATATUKUTA HAPAHAPA BONGO...MTANI NAJUA INAUMA ILA TUVUMILIANE TU MTANI
Hahahahaaaaa. Kazi kweyi kweyi.
 
Yaani kwa kumbukumbu zangu toka nimeanza kuishabikia Yanga (47 yrs now) hatujawahi kuitoa timu ya Misri
Historia huwa zinavunjika na ndio maana hata kabla sijazaliwa ni mwaka huu sijui mwaka jana Taifa Stars ndio kacheza AFCON. Hivyo usitishwe na Historia inaweza kuvunjwa pia.
 
Back
Top Bottom