Yanga acheni utapeli, Mechi za Club bingwa hazitakiwi kuwa na watazamaji

Naona msukule fc wameususa uzi kwa aibu.

Hawa jamaa hawachoki kudanganywa tu.

Mara tukikosa unmbingwa waulizwe gsm

Mara surprise ya mchezaji sijui chama, louis akaja manara

Hapa washawapiga mashabiki hela tayari.

Uto uto...msukule fc, chura fc, ndala fc muwe mnajiongeza hata kwa kudesa.
MEMKWA FC acheni kelele.
 
Viongozi wa Yanga aisee sijui ni lini wataacha kufanya kazi kwa kubabaisha. Ukiingia kwenye ukurasa wa Azam fc wametoa taarifa mapema sana kuwa wamepewa taarifa kutoka shirikisho la soka Africa (CAF) kwamba mashabiki hawaruhusiwi katika mechi yao ya jumamosi. Cha ajabu uongozi wa Yanga wanatangaza hawana taarifa yoyote kuhusu kurusiwa au kutoruhusiwa kwa mashabiki. Sasa hao Azam wanaongozwa na CAF ipi tofauti na ya Yanga? Hao CAF wawape taarifa timu ya Azam halafu ya Yanga iwakalie buyu mpaka wajichukulie maamuzi ya kutangaza tiketi jambo ambalo haliwezikani. Yanga inatatizo la kiuongozi ubabaishaji mwingi sana
Hii timu inamatatizo wao ni watu wa kulialia, majungu, wanajipa ukubwa ambao hata Namungo wamewazidi. Nikiiangalia ni kama timu ya vibarazani. Kwa hili wanajitoa ufahamu na tayari wameshaanza kulia na CAF teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom