Yanga A.K.A. TZ yeboyebo 5 modern Taarabu!

Kwa sababu ukoo wenu makahaba unahisi kila mtu ni kahaba kama nyie.huwezi ushabiki kaa kimya.
 
Watu wengine bana wanajifanya wanaumeee.we uliona wapi mwanaume anajisifu.subiri akina dada waseme maku we.hapa tunazungumza mpira kama huwezi kaa kimya kama unaona jina ni ishu sana andika la ukoo wenu.huna adabu bana.
 
Inashangaza sana kuona timu kama Yanga inayojianda na mashindano ya kimataifa inaogopa kushiriki mashindan ambayo yatawasaidia kujimaarisha zaidi katika kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa! Shame upon you, dat ya mnaitwa VIZIBO FC AU 5 modern taarabu! Hamjui mpira zaid ya mipasho ya taarabu,
Na siku akiondoka huyo mwnyekit wenu hii timu ikikutana na simba lzm ten mpigwe 5 koz Manji ndo anawapa moyo wachezaji kwa vijieleza vyake hivyo!

Bonanza aka fete big noo
 
Huo ndio upunguani. Hivyo "vizibo" ndio chanzo cha mechi hiyo kufanyika. Watengebeza vuzibo ndio wadhamini wa club zote mbili. Hizo ni hasira za kukosa zile pesa lakini hilo kombe mlilochukua bila vizibo lingekuwepo. Yakupasa kufikiri kabla ya kuropoka. Au ndio matunda ya kukosa elimu. Kama umesoma lkn hujaelimika
 
Watu wengine bana wanajifanya wanaumeee.we uliona wapi mwanaume anajisifu.subiri akina dada waseme maku we. hapa tunazungumza mpira kama huwezi kaa kimya kama unaona jina ni ishu sana andika la ukoo wenu.huna adabu bana.

Haya bana taamu naona hapo kwenye mstari ndo mpira au sio..?
 
Last edited by a moderator:
mtajiju Yanga bado mnaweweseka........hallllllllllllllllllllloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Duh, Simba pana hatari hapo. Na wewe mkuu Amavubi unaongea hivi? Ndo taabu ya kumrudishi Kibadeni klabuni. Ona alichowafanya
 
Last edited by a moderator:
Yanga wasnii zaidi ni woga na kutojiamini maana wanaona wazi wakiwa kule zenji watafungwa sasa zinafungwa Man U,Chelsea,Bayern M, Baca sebuse hii kandambili
 
Yanga wasnii zaidi ni woga na kutojiamini maana wanaona wazi wakiwa kule zenji watafungwa sasa zinafungwa Man U,Chelsea,Bayern M, Baca sebuse hii kandambili

Manchester si ndiyo simba? Subiri mwaka huu simba kama manchester! Patamu hapo
 
Back
Top Bottom