Yanga A.K.A. TZ yeboyebo 5 modern Taarabu!

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
313
500
Inashangaza sana kuona timu kama Yanga inayojianda na mashindano ya kimataifa inaogopa kushiriki mashindan ambayo yatawasaidia kujimaarisha zaidi katika kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa! Shame upon you, dat ya mnaitwa VIZIBO FC AU 5 modern taarabu! Hamjui mpira zaid ya mipasho ya taarabu,
Na siku akiondoka huyo mwnyekit wenu hii timu ikikutana na simba lzm ten mpigwe 5 koz Manji ndo anawapa moyo wachezaji kwa vijieleza vyake hivyo!
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000

Wewe lazima utakuwa demu, vinginevyo una tabia za kike. Hujui hata maandalizi ni nini.
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,494
2,000
wapuuze, Yanga wengi ndiyo mifano yao hiyo

Maneno ya kike hayo mkuu. Yaani anaanzisha threaf kukashifu asichokijua, shabiki zero. Yanga mwaka jana ilishiriki mapinduzi? Maandalizi huenda kwa programu sio mradi mechi tu. Nawtakieni mandalizi mema na hiyo mapinduzi kap yenu.
 
Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
648
195
Kocha hiyo ni reshuffle program. Vipu na ninyi kama bonanza ndio kila kitu mbona bado mnamsakama Rage?

broo achana na hawa majike majina yao tu ya kikahaba sasa we mtu anaitwa taamu kama sio kahaba ni nini sasa..mwanzilishi wa thread nae hana hoja
alichoandika hakina logic anarukaruka tu hajui chochote kubishana nae sioni kama ni busara coz hata hoja hana anaropoka tu
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,895
2,000
Inashangaza sana kuona timu kama Yanga inayojianda na mashindano ya kimataifa inaogopa kushiriki mashindan ambayo yatawasaidia kujimaarisha zaidi katika kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa! Shame upon you, dat ya mnaitwa VIZIBO FC AU 5 modern taarabu! Hamjui mpira zaid ya mipasho ya taarabu,
Na siku akiondoka huyo mwnyekit wenu hii timu ikikutana na simba lzm ten mpigwe 5 koz Manji ndo anawapa moyo wachezaji kwa vijieleza vyake hivyo!

Kibaya zaidi aliyekuroga kafa sijui utaponea wapi. Unabwabwaja kama mkazi wa Mirembe Hospital. Angalia ya kwenu na kidume chenu Rage, ya Yanga waachie wanayanga wenyewe.
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
wewe kweli nyenyere
Maneno ya kike hayo mkuu. Yaani anaanzisha threaf kukashifu asichokijua, shabiki zero. Yanga mwaka jana ilishiriki mapinduzi? Maandalizi huenda kwa programu sio mradi mechi tu. Nawtakieni mandalizi mema na hiyo mapinduzi kap yenu.
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
broo achana na hawa majike majina yao tu ya kikahaba sasa we mtu anaitwa taamu kama sio kahaba ni nini sasa..mwanzilishi wa thread nae hana hoja
alichoandika hakina logic anarukaruka tu hajui chochote kubishana nae sioni kama ni busara coz hata hoja hana anaropoka tu
mtajiju Yanga bado mnaweweseka........hallllllllllllllllllllloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom