Yanga 2,toto africa 3

Yanga 2,toto africa 3

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,957
So sweet haya simba mshindwe wenyewe
 
Kwani imekuwaje umeileta huku. Ungepeleka kule sports tena kuna Yanga &
Simba special threads. Usirudie tena kuleta mambo ambayo hatutaki kuyaona
umeshaniharibia wikiendi yangu njema..... umesikia we kibela?
 
Kibera kufa kufaana ati we washinda airtel wenzio twashinda vodacom kibeeeeeeeeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sema raaaaaaaaaaavuuuuuuuuuuuuuuuuuu nitumiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeee basiiiiiiiiii nireeeeeeee baya aiseeeeeeeeee
 
tumewaachia wadogo zetu. wana hali mbovu

Tatizo yanga ni mmejiingiza sana mambo ya ccm, badilisheni mfumo wenu hatuipendi yanga sana sababu hamna tofauti na ccm hata bendera ni ya ccm. Mnatuboa.
 
wacha tuwaachie madogo wasishushwe daraja . kama na wao walivyotupa ubingwa mwaka jana .
 
Back
Top Bottom