Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
Ww acha tyHalafu akiumwa na tumbo aanze kusumbuana watu.
Mwandiko wako wa bata.Habari zenu
Je umewai safiri ukaka siti moja na mtu anae nunua vitu kila sehemu au mwenye mtoto na Kama ndio ilikuwaje?
Mm naaza nilikaa na mtu anakula vibaya yaani kila kituo Ana nunua kitu mara maindi ya kuchoma mara maindi ya kuchemsha wakt lile la kuchoma ajamaliza kula mara mayai mara ndizi maziwa yaani na vyote anakula af sasa akaaza kujiongelesha ase nilikaa kimya nikamkata jicho hakuludia Tena kuongea
Ww acha ty ndio nini? Wa Kimboka utawajua tu. Akili kizibo cha soda.Ww acha ty
Huyo anafaa kuwa waziri kwani anawaunga mkono wafanyabiashara machinga na mamantilie, ila wewe una roho ya korosho.Habari zenu
Je umewai safiri ukaka siti moja na mtu anae nunua vitu kila sehemu au mwenye mtoto na Kama ndio ilikuwaje?
Mm naaza nilikaa na mtu anakula vibaya yaani kila kituo Ana nunua kitu mara maindi ya kuchoma mara maindi ya kuchemsha wakt lile la kuchoma ajamaliza kula mara mayai mara ndizi maziwa yaani na vyote anakula af sasa akaaza kujiongelesha ase nilikaa kimya nikamkata jicho hakuludia Tena kuongea
Shida yako kubwa Nini?Ww acha ty ndio nini? Wa Kimboka utawajua tu. Akili kizibo cha soda.
Bila shaka utakuwa na masheitwani😂😂Mie wananikera wahubiri wa injili.yaani wanahubiri bila kujua utofauti wa imani za abiria na wengine wamechoka wanahitaji kupumzika.wakishamaliza wanaomba sadaka.njaa tu
Mimi yanayo nikera ni mtu kusema YANAYO KUKELA badala kusema yanayo kukera wakati juzi Tu hapa ilikuwa siku ya kiswahili Ulimwenguni hilo linanikera sana kuharibiwa lugha yangu ADHIMUHabari zenu
Je umewai safiri ukaka siti moja na mtu anae nunua vitu kila sehemu au mwenye mtoto na Kama ndio ilikuwaje?
Mm naaza nilikaa na mtu anakula vibaya yaani kila kituo Ana nunua kitu mara maindi ya kuchoma mara maindi ya kuchemsha wakt lile la kuchoma ajamaliza kula mara mayai mara ndizi maziwa yaani na vyote anakula af sasa akaaza kujiongelesha ase nilikaa kimya nikamkata jicho hakuludia Tena kuongea
DooHabari zenu

Wanakera bhana! Wengine tumekaa na warembo tunangojea kuwala kimasihara tukifika G.House, sasa wao wanahubiri uzinzi badala ya ajaliBila shaka utakuwa na masheitwani
Bora kumshika ushawai kukojolewa weWatoto wadogo tunawapenda, lakini kukaa siti moja na mama mwenye mtoto asiyetulia, inabidi ujiandae, maana kuna muda itabidi umsaidie kumshika
Acha uzinzi...Wanakera bhana! Wengine tumekaa na warembo tunangojea kuwala kimasihara tukifika G.House, sasa wao wanahubiri uzinzi badala ya ajali