Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kuirudisha Zimbabwe ile sio leo wala kesho mana Rais wao muda utaisha na ataondoka bila kufanya chochote,so waendelee kula matunda waliyomchekea mugabe kipind anawafukuza weupe
Huyo si alishakujaga bongo!!? Alipata kakozi kafupi, we waache waje kupigwa ban na marekaniš
Hawa SADC wanataka kutuingiza mkenge. Kwani vikwazo Zim vimeanza Leo mpaka sisi tuwe vimbelembele kuwatetea. Mbona uongozi uliopita wa RSA chini ya Zuma then Ramaphosa na Namibia chini ya Hage hawakuyazungumxia hayo. Tena wao ni neighbours na ndiyo wameathirika zaidi na wingi wa wakimbizi toka Zim.Serikali ya Marekani imesema inaendelea kusikitishwa na hali mbaya inayozidi kuongezeka nchini Zimbabwe juu ya ukandamizwaji wa upinzani unaofanywa na vyombo vya dola.
Licha ya Marekani kuitaka serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kubadili sheria kadhaa ili kuboresha mahusiano ya nchi hizo mbili kidiplomasia, Serikali bado haijachukua hatua zozote.
Wiki iliyopita serikali ya Mnangagwa ilipiga marufuku aina yoyote ya mikusanyiko na maandamano iliyokua inaratibiwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC.
Licha ya kua kwenye shinikizo kali, serikali ya Mnangagwa inakabiliwa na tishio la maandamo kutoka kwa madaktari wanao taka ongezeko la mishahara.
Polisi wanatajwa kutetea chama tawala na kunyanyasa upinzani. #KwanzaHabari
wewe subiri wajichanganye, nadhani hawazijui shombo za trump. watasababisha Bara zima tuporomoshowe matusiHawa SADC wanataka kutuingiza mkenge. Kwani vikwazo Zim vimeanza Leo mpaka sisi tuwe vimbelembele kuwatetea. Mbona uongozi uliopita wa RSA chini ya Zuma then Ramaphosa na Namibia chini ya Hage hawakuyazungumxia hayo. Tena wao ni neighbours na ndiyo wameathirika zaidi na wingi wa wakimbizi toka Zim.
Wamuwekee vikwazo haraka sana shetani wa Tanzania, maana anaumiza sana watanzania.Serikali ya Marekani imesema inaendelea kusikitishwa na hali mbaya inayozidi kuongezeka nchini Zimbabwe juu ya ukandamizwaji wa upinzani unaofanywa na vyombo vya dola.
Licha ya Marekani kuitaka serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kubadili sheria kadhaa ili kuboresha mahusiano ya nchi hizo mbili kidiplomasia, Serikali bado haijachukua hatua zozote.
Wiki iliyopita serikali ya Mnangagwa ilipiga marufuku aina yoyote ya mikusanyiko na maandamano iliyokua inaratibiwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC.
Licha ya kua kwenye shinikizo kali, serikali ya Mnangagwa inakabiliwa na tishio la maandamo kutoka kwa madaktari wanao taka ongezeko la mishahara.
Polisi wanatajwa kutetea chama tawala na kunyanyasa upinzani. #KwanzaHabari
Wakati huo Zim ikiitwa "Bread basket of southern Africa" kabla Cmdr Robert Gabriel Mugabe kuibadilisha ikawa "Basket case of sub Saharan Africa"!!!Zimbabwe ya weupe ilikuwa nzuri sana ajira nje nje,mzunguko wa pesa mzuri biashara zinatoka,
Utakua unamsema Sultani Mbowe weweUdikteta ni mbaya sana, kwa sababu unaona una haki ya kutawala milele