Hakika kwa kauli kama hizi sio mara ya kwanza kusikika masikioni mwa watanzania,mara ya kwanza tulisikia kutoka Kwa Mbunge wa iringa mjini mh.Mchungaji msigwa ambapo aliwahi kuSema jambo linalofanana na hili ila toauti ni kwamba yeye alimlenga mh LowAsa.
Niwazi kwa yanayotokea kwa mbunge wa Arusha mjini,ni fundisho tosha dhidi ya mienendo na tabia yake ambayo Kwa hakika ilishaota Mizizi.zifuatazo ni baadhi kumbukumbu za matukio ya Lema tangu ameapishwa kuwa mbunge wa Arusha mjini.
1.baada yakuapishwa alianzisha vuguvugu la kumkataa meya wa jiji ambapo alisababisha maandamano na vifo visivyo vya lazima.
2.alichochoea na kuleta vurugu chuo kikuu cha uasibu njiro,kiasi cha wanafunzi 17 kufukuzwa chuo.
3.wakati wa uandhikishaji wapiga kura kata ya SINON napo alileta tafrani iliyoleta usumbufu usio wa lazima.
4.hivi karibuni alileta fujo katika uzinduzi wa ujenzi ya hospitali ya mama na mtoto.
5.kushawishi wanannchi kuvunja uzio wa soko lakilombero bila yakuwa na ruhusa kufanya hivyo...
6.lema na mke wake kutuhumiwa kutuma ujumbe mfupi wa matusi dhidi ya mkuu wa mkoa uliosomeka "karibu Arusha tutakudhibiti kama uarabuni wanavyodhibiti mashoga"
7.mara ya mwisho napo amenukuliwa akitoa maneno ya uchochezi dhidi ya mkuu wa kaya.
Kwa kumbukumbu hakuna mbunge mwingine yeyote aliwahi kufanya siasa zinazofanana na hizi za mh Lema ni wazi hazina mashiko,pamoja na hayo tunamtakia kila la kheri uko alipo kisongo, Mungu amjalie wepesi na afya tele, atakapomaliza tatizo hili bhasi akabadili mbinu na hatimae atufanyie siasa zenye tija wanawaArusha.
Nawasilisha.
Ukikutwa mtoni unaoga, alafu mtu akakimbia na mavao yako na ww ukatoka ndani ya maji na kumkimbiza ni nani ataaibika??Hakika kwa kauli kama hizi sio mara ya kwanza kusikika masikioni mwa watanzania,mara ya kwanza tulisikia kutoka Kwa Mbunge wa iringa mjini mh.Mchungaji msigwa ambapo aliwahi kuSema jambo linalofanana na hili ila toauti ni kwamba yeye alimlenga mh LowAsa.
Niwazi kwa yanayotokea kwa mbunge wa Arusha mjini,ni fundisho tosha dhidi ya mienendo na tabia yake ambayo Kwa hakika ilishaota Mizizi.zifuatazo ni baadhi kumbukumbu za matukio ya Lema tangu ameapishwa kuwa mbunge wa Arusha mjini.
1.baada yakuapishwa alianzisha vuguvugu la kumkataa meya wa jiji ambapo alisababisha maandamano na vifo visivyo vya lazima.
2.alichochoea na kuleta vurugu chuo kikuu cha uasibu njiro,kiasi cha wanafunzi 17 kufukuzwa chuo.
3.wakati wa uandhikishaji wapiga kura kata ya SINON napo alileta tafrani iliyoleta usumbufu usio wa lazima.
4.hivi karibuni alileta fujo katika uzinduzi wa ujenzi ya hospitali ya mama na mtoto.
5.kushawishi wanannchi kuvunja uzio wa soko lakilombero bila yakuwa na ruhusa kufanya hivyo...
6.lema na mke wake kutuhumiwa kutuma ujumbe mfupi wa matusi dhidi ya mkuu wa mkoa uliosomeka "karibu Arusha tutakudhibiti kama uarabuni wanavyodhibiti mashoga"
7.mara ya mwisho napo amenukuliwa akitoa maneno ya uchochezi dhidi ya mkuu wa kaya.
Kwa kumbukumbu hakuna mbunge mwingine yeyote aliwahi kufanya siasa zinazofanana na hizi za mh Lema ni wazi hazina mashiko,pamoja na hayo tunamtakia kila la kheri uko alipo kisongo, Mungu amjalie wepesi na afya tele, atakapomaliza tatizo hili bhasi akabadili mbinu na hatimae atufanyie siasa zenye tija wanawaArusha.
Nawasilisha.
Lema ahukumiwe kwa makosa aliyoyatenda si haya mambo ya ndoto !! Kesi gani hii ya kuturejeshea sheria kandamizi ya KIZUIZINI ?!
Tatizo Arusha si Lema ni Gambo, hawa wateule ni shida. Mbona majangili yamepewa dhamana nani akapimwe akili ?!
Unayajua yanayompata huko aliko? Angalia picha zake akiwa MahakamaniNamuona Lema kama shujaa MANDELA
Tatizo Arusha ni lema kabla ya lema hakukuwa na ujinga unaoendelea
Lema alipokuwa na mkuu wa mkoa aliepigwa fitna somebody Tibenda hakukuwa na hekaheka hizi. Tabu alipoingia mfitini na kutaka kujitangaza shida ikaanza.Tatizo Arusha ni lema kabla ya lema hakukuwa na ujinga unaoendelea
Viroba