Yanayotokea kwa mbunge wa Arusha mjini G. Lema, ni fundisho tosha kwake

KAKADO

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
230
336
Hakika kwa kauli kama hizi sio mara ya kwanza kusikika masikioni mwa watanzania,mara ya kwanza tulisikia kutoka Kwa Mbunge wa iringa mjini mh.Mchungaji msigwa ambapo aliwahi kuSema jambo linalofanana na hili ila toauti ni kwamba yeye alimlenga mh LowAsa.

Niwazi kwa yanayotokea kwa mbunge wa Arusha mjini,ni fundisho tosha dhidi ya mienendo na tabia yake ambayo Kwa hakika ilishaota Mizizi.zifuatazo ni baadhi kumbukumbu za matukio ya Lema tangu ameapishwa kuwa mbunge wa Arusha mjini.

1.baada yakuapishwa alianzisha vuguvugu la kumkataa meya wa jiji ambapo alisababisha maandamano na vifo visivyo vya lazima.

2.alichochoea na kuleta vurugu chuo kikuu cha uasibu njiro,kiasi cha wanafunzi 17 kufukuzwa chuo.

3.wakati wa uandhikishaji wapiga kura kata ya SINON napo alileta tafrani iliyoleta usumbufu usio wa lazima.

4.hivi karibuni alileta fujo katika uzinduzi wa ujenzi ya hospitali ya mama na mtoto.

5.kushawishi wanannchi kuvunja uzio wa soko lakilombero bila yakuwa na ruhusa kufanya hivyo...

6.lema na mke wake kutuhumiwa kutuma ujumbe mfupi wa matusi dhidi ya mkuu wa mkoa uliosomeka "karibu Arusha tutakudhibiti kama uarabuni wanavyodhibiti mashoga"

7.mara ya mwisho napo amenukuliwa akitoa maneno ya uchochezi dhidi ya mkuu wa kaya.

Kwa kumbukumbu hakuna mbunge mwingine yeyote aliwahi kufanya siasa zinazofanana na hizi za mh Lema ni wazi hazina mashiko,pamoja na hayo tunamtakia kila la kheri uko alipo kisongo, Mungu amjalie wepesi na afya tele, atakapomaliza tatizo hili bhasi akabadili mbinu na hatimae atufanyie siasa zenye tija wanawaArusha.

Nawasilisha.
 
Lema ahukumiwe kwa makosa aliyoyatenda si haya mambo ya ndoto !! Kesi gani hii ya kuturejeshea sheria kandamizi ya KIZUIZINI ?!

Tatizo Arusha si Lema ni Gambo, hawa wateule ni shida. Mbona majangili yamepewa dhamana nani akapimwe akili ?!
 
ungeaanza pima yako we ulieandika then ndo umwambie na mwenzako apime, Tunapojadili tuwe na ufahamu nan chizi kati yenu.
 
Ukikutwa mtoni unaoga, alafu mtu akakimbia na mavao yako na ww ukatoka ndani ya maji na kumkimbiza ni nani ataaibika??
 
Lema ahukumiwe kwa makosa aliyoyatenda si haya mambo ya ndoto !! Kesi gani hii ya kuturejeshea sheria kandamizi ya KIZUIZINI ?!

Tatizo Arusha si Lema ni Gambo, hawa wateule ni shida. Mbona majangili yamepewa dhamana nani akapimwe akili ?!

Tatizo Arusha ni lema kabla ya lema hakukuwa na ujinga unaoendelea
 
nilikuwa arusha..nilichojifunza ni kuwa watu wa arusha wanampenda sana lema
 
Tatizo Arusha ni lema kabla ya lema hakukuwa na ujinga unaoendelea

Kwa bahati mbaya wananchi wa Arusha sio wa kuambia ubaya wa mtu kwa njia ya propaganda. Watu wa Arusha sio watu wa nidhamu ya woga wala unafiki kasoro wanaccm wachache kama wewe. Kinachoendelea mpaka sasa ni madaraka kutumika kwa ajili ya kumkoa Lema, na watu wengi hawapati shida kwani hiyo ndio tabia ya siasa za waafrika, mwenye madaraka hutumia madarka yake kumnyanyasa asiye wa upande wake. Hivyo kuorodhesha hapa mambo ambayo unadhani watu wataona kwamba Lema ni mkosaji sana ni kama unapoteza muda wako. Ni kweli Lema ana mapungufu kama binadamu wengine, lakini ukweli utabaki utawala huu unatumia madaraka yake kama sehemu ya kukomoa wapinzani wake na hili kila mtu analijua na kuliona.
 
Tatizo Arusha ni lema kabla ya lema hakukuwa na ujinga unaoendelea
Lema alipokuwa na mkuu wa mkoa aliepigwa fitna somebody Tibenda hakukuwa na hekaheka hizi. Tabu alipoingia mfitini na kutaka kujitangaza shida ikaanza.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom