Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
wewe ndio walewale!!! kwani kilichofichwa ni nini? CC ya chadema iko upande wa mbowe, wanachama wengi wako upande wa Zitto!!!! kwni tatizo ni nini, au hutaki kipi hapo??Majid,
pamoja na makala yako ya kutaka kujisafisha.
Wewe bado ni lethal weapon, bado unasambaza sumu zako dhidi ya chama makini japo kwa kujifichaficha!! Ningekuelewa zaidi kama ungetoa ufafanuzi hapo nilipo-bold kuhusu CDM.
Kwa upande wa pili, sipendi kuingialia undani wa Visiwani, ila nadhani umechanganya Zanzibar na Unguja, otherwise kwenye makala yako ulimaanisha Pemba na siyo Unguja kama ulivyoandika.
amezungumza sawa kabisa na chadema kilivyo!!! ebo kunya anye kuku akinya bata kaharisha!!1 udhaifu wa chadema utazungumzwa, lakini udhaifu na kukosoa huku ndio kinaikuza chadema, mbona ama za ndiyo mzee ziliiisha? umechelewa kuzaliwa weye!