Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,499
Hata hayo yenye maslahi ya chama uyatoe.
Acha ushamba. huyu mtu kajitolea kuleta update halafu we unamkatisha tamaa.
sio chama cha vibaka kuna vibaka kwenye chama nao wamesha jichuja ambao wapo kundi la frend of lowasa
Kikao cha siri na wewe si mjumbe utayatoa hadharani vipi? Hebu kajambe huko unadhani kila mtu ni mbumbumbu mwenzako?
sipati picha waganga walivyojaa hapo dodoma ,

Habari za siku tele wanajamvi.
Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais.
Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za kumpata rais wa awamu ya 5.
Nitakuwa nawaletea kila lililo muhimu hapa, japo ni kikao cha siri ila yale yenye maslahi ya nchi nitayatoa hadharani.
Baadhi ya wajumbe wameshawasili hapa nje ila ajabu nawaona wajumbe watatu ambao wametangaza nia wapo hapa, sidhani kama wamepata taarifa ya kuhudhuria au la!
Nitawajuzaaa!!!

ulijuaje? Nawe mganga wa kuagua/kupiga ramli?
ulijuaje? Nawe mganga wa kuagua/kupiga ramli?
Kikao cha siri na wewe si mjumbe utayatoa hadharani vipi? Hebu kajambe huko unadhani kila mtu ni mbumbumbu mwenzako?
mkuu membe kashasambaza waganga toka nigeria kila mkoa mganga mmoja
Ina maana wewe ulikuwa unajuwa kwamba Membe ni Mkristo?
Membe angekuwa Mkristo kanisa Katoliki lingehakikisha anakuwa Rais lakini systeam ya kanisa katoliki ilishambaini miaka mingi kwamba alitumia kanisa kusoma kama kaka yake Samuel Luhanga (JK)