Yanayojiri toka Dodoma, Kikao cha CC

Yanayojiri toka Dodoma, Kikao cha CC

CCM original

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
373
Reaction score
68
Habari za siku tele wanajamvi.

Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais.

Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za kumpata rais wa awamu ya 5.

Nitakuwa nawaletea kila lililo muhimu hapa, japo ni kikao cha siri ila yale yenye maslahi ya nchi nitayatoa hadharani.

Baadhi ya wajumbe wameshawasili hapa nje ila ajabu nawaona wajumbe watatu ambao wametangaza nia wapo hapa, sidhani kama wamepata taarifa ya kuhudhuria au la!

Nitawajuzaaa!!!
 
Chama cha vibaka mwaka huu urais mtabaki kuusikilizia kwenye vyombo vya habari!
 
huu ni msimu wa waganga kutajirika.kuna habari zinaendelea kule kwenye magroup ya watssp kuwa membe kaagiza waganga kutoka nigeria

Membe kawashushq waganga wenye idadi ya kila mkoa tanzania..yaan kila mkoa mganga mmoja
 
Kikao cha siri na wewe si mjumbe utayatoa hadharani vipi? Hebu kajambe huko unadhani kila mtu ni mbumbumbu mwenzako?

acha kuwa zuzu bwana mdogo, umewahi kuwepo wakati kikao cha kamati kuu kikiendelea!?
 
Attachments

  • 1435993561696.jpg
    1435993561696.jpg
    47 KB · Views: 929
Wewe utakua ni wale wasafisha ukumbi, watu wenyewe hawajafika ww kiherehere!
 
ccm original wewe ni mzushi tena mrongo mkubwa. ajenda za kikao tulikwisha ambiwa sasa wewe unapojaribu kutuhadaa sijui unakusudia nini...acha urongo banaa
Habari za siku tele wanajamvi.

Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais.

Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za kumpata rais wa awamu ya 5.

Nitakuwa nawaletea kila lililo muhimu hapa, japo ni kikao cha siri ila yale yenye maslahi ya nchi nitayatoa hadharani.

Baadhi ya wajumbe wameshawasili hapa nje ila ajabu nawaona wajumbe watatu ambao wametangaza nia wapo hapa, sidhani kama wamepata taarifa ya kuhudhuria au la!

Nitawajuzaaa!!!
 
Habari za siku tele wanajamvi.

Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais.

Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za kumpata rais wa awamu ya 5.

Nitakuwa nawaletea kila lililo muhimu hapa, japo ni kikao cha siri ila yale yenye maslahi ya nchi nitayatoa hadharani.

Baadhi ya wajumbe wameshawasili hapa nje ila ajabu nawaona wajumbe watatu ambao wametangaza nia wapo hapa, sidhani kama wamepata taarifa ya kuhudhuria au la!

Nitawajuzaaa!!!
JK yuko hapo kushinikiza miswada ya petroli na gesi iwe sheria,sio hao wagombea uvundo
 
Kuna uzi mmoja hapa umetoka kwamba jina lake halisi anaitwa Bakari. Hili la Bernado, ni la shuleni tu!. Kwa nini huelewi? Samweli Sita naye jina lake ni Ally. Hili la Samwlei lilikuja katika njia za shule.

sasa nimeamini undugu wa huyu jamaa na jk,hapo ni msikitini kabisa,hilo jina benard kumbe ni geresha
 
Ina maana wewe ulikuwa unajuwa kwamba Membe ni Mkristo?

Membe angekuwa Mkristo kanisa Katoliki lingehakikisha anakuwa Rais lakini systeam ya kanisa katoliki ilishambaini miaka mingi kwamba alitumia kanisa kusoma kama kaka yake Samuel Luhanga (JK)
 
Back
Top Bottom