geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
Mkuu zitakuwepo za kutosha maandalizi yamekamilika ifikapo SAA 7 mambo yataanza.
kwani mkulu na magu hawawathamin wake zaoLowasa kata mbuga baba,ninakusapoti coz unamthamini mke wako,hivyo na wananchi utatuthamini
Wakuu
Leo ndio siku iliyosubiriwa kwa hamu na wananchi wa Igunga kumpokea na kumsikiliza kiongozi huyu ambaye in kipenzi cha wapenda mabadiriko hivyo tuwe tayari kupokea updates mbalimbali za tukio hili kamanda wenu nipo tayari kuwawakilisha, karibuni sana.
Yan akipita watu wanafanya mambo yao mpaka oct 25 washasahau chezea watanzania hapa kazi tu ccm hana mpinzani pigeni kelele mgeuzwe tu
Akili yako fupi lipia star TV au channel ten mikutano yenu ionekane live acha kulalamaaaa.
mabadiliko yanaongozwa na wannchi wenyewe sio viongozi ,ukitaka kuyazuia rudi kwa wanachi wenyewe viongozi hawatoweza
Yan akipita watu wanafanya mambo yao mpaka oct 25 washasahau chezea watanzania hapa kazi tu ccm hana mpinzani pigeni kelele mgeuzwe tu
Nilifurahi sana jinsi mashabiki wa timu ya taifa jana walivyo wakilisha rais lowassa kwa kushangilia kimabadiliko hongerini sana pamoja tuna weza .Adi mda huu ccm ipo hoi !
Yan akipita watu wanafanya mambo yao mpaka oct 25 washasahau chezea watanzania hapa kazi tu ccm hana mpinzani pigeni kelele mgeuzwe tu
...
....Lowassa Mabadiliko Shinyanga imetapika Igunga balaa
Nina wasiwasi wewe hupo eneo la mkutano. Hata kama utakuwa Igunga pengine ni mipakani unasubiri tu picha za watakaorusha wenzio na wewe udakie hapo. Kama kweli upo uwanja utakapofanyika mkutano umeshindwa hata kutuonyesha jukwaa lilivyo? Fanya hivyo kabla hujaumbuka zaidi.
...
....Lowassa Mabadiliko Shinyanga imetapika Igunga balaa
Kweli mkuu kwa ufisadi ni hariiiiiiiiiiiiii.
Lowasa hatariiiiiii
Kamsababisha Mihogo akimbie Azam TV
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.
Ndugu elewa kuwa hapa nilipo natumia simu hivyo ku upload picha inakiwa ngumu, basi ili uwe na uhakika kuwa nipo eneo la tukio ebu ona angalau hiyo wakati maandalizi yakifanyika asubuhi ya leoNina wasiwasi wewe hupo eneo la mkutano. Hata kama utakuwa Igunga pengine ni mipakani unasubiri tu picha za watakaorusha wenzio na wewe udakie hapo. Kama kweli upo uwanja utakapofanyika mkutano umeshindwa hata kutuonyesha jukwaa lilivyo? Fanya hivyo kabla hujaumbuka zaidi.