Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

Lowasa hatariiiiiii
Kamsababisha Mihogo akimbie Azam TV
 

Tunataka hata picha za barabara atakayopita masiha kama huna picha yoyote ya Lowassa kwa muda huu.
 

Mawazo yako nayakubali✌✌✌
 
Kamanda mwenye huu Uzi,uko wapi,mi niko hapa hapa kwenye mkutano Igunga.Naomba tufahamiane niko kwenye hill jukwaa la zamani
 
Raisi mtarajiwa Lowasa huyo anakuja na tanzania mpya hakika chaguo la wengi ni chaguo la Mungu.
Wasiotaka mabadaliko mwaka huu mtaisoma namba .

magamba wataisoma namba mwaka huu...mpaka akili ziwarejee.
 
Yan akipita watu wanafanya mambo yao mpaka oct 25 washasahau chezea watanzania hapa kazi tu ccm hana mpinzani pigeni kelele mgeuzwe tu

binti. Mabadiliko mwaka uhu haya hepukiki. na viongozi wako wote wanajua mwaka uhu wanakwenda kuangukia pua.
 
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.
 
Nilifurahi sana jinsi mashabiki wa timu ya taifa jana walivyo wakilisha rais lowassa kwa kushangilia kimabadiliko hongerini sana pamoja tuna weza .Adi mda huu ccm ipo hoi !
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaafi sana
 
Hatuna mda wa kusikiliza mgonjwa na fisadi akaongoze mafisadi wenzake huko hatunq habari naye siye hapa kazi tu umbea peleka ukawa.

Kama huna muda ni nini kimekuleta mbio kwenye hii thread? Lowasa ndiye rais wako utake ustake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…