Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Asubuhi ya Leo Tundu Lissu anatarajiwa Kupandishwa Kizimbani kama mjuavyo Jana alinyimwa dhamana Baada ya kudaiwa Kutumia maneno ya kuudhi dhidi ya Rais aliyechaguliwa kwa Kura nyingi za Wananchi.
Je gwiji huyu wa sheria atafanikiwa kutoka leo ?
Fuatilia hapa kila hatua.
UPDATES
barafu Said
Kamanda wa kanda maalumu ya Dsm,Kamanda Sirro,amewaambia waandishi wa habari kuwa bado wanaendelea kumshikilia Tundu Lissu ktk kituo kikuu cha Polisi kwa siku ya tatu bila dhamana na hawajamfikisha mahakamani.
Lengo la kuendelea kumshikilia ni kuendelea kufanya upelelezi wa matamshi yake na kujihakikishia pasi na shaka kuwa Tundu Lissu ana kesi ya kujibu.
Hadi pale upelelezi huo utakapokamilika,basi Tundu Lissu atafikishwa mahakamani.