Yanayojiri Katika Mkutano wa Dr. Slaa Igunga

Mungu azidi kukutia nguvu shujaa wa wanyonge.
 


Yaani wewe unaakili zaidi ya hawa wote? onaaibu mkuu. Stuka jitambue usitumike kama dodoki.
 

hapo kwenye red,labda kama yuko kwenye moyo wa ukoo wenu pekee
 
Wewe mwenyewe babu, sema babu ambaye ni mtupu kichwani! Mbabu mzima kama wewe unauliza masuali ya kijinga namna hii, hao wajukuu zako wana hasara

Mkuu baada ya jana Singano kunisababishia maumivu ya kichwa,leo you make my day na sentesi yako hiyo,yaani nimecheka mpaka basi,huyu jamaha ni mtu mzima sana ila ni maskini wa akili,hoja na hata busara,
 
Ukidhubutu kuweka picha nakunya hapa hapa nilipo huo mkutano haunatofauti na wa vijana wa ccm Arusha
 
Ilipata kusemwa kuwa Wapinzani hawawezi kushinda uchaguzi kwa vile vyama vyao vipo mijini tu, na huko mashinani ni CCM imeota mizizi na ndio kuna wapiga kura mob, sasa wapinzani wanajielekeza mashinani kujiimarisha zaidi huku wapiga porojo wa CCM wanaanza kutukana matusi ya kuudhi...Sielewi inakuwaje siasa safi ni fumbo kwa wapiga porojo wa Chama Cha Mizigo alias CCM?
 
Hebu tubandikieni na picha, mbona tunapokea picha za kinachoendelea toka mwisho wa reli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…