Yanayojiri bungeni Dodoma Novemba 02, 2016

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Habari wakuu,
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na jana yaligusiwa mambo kadhaa kwenye kipindi cha maswali na majibu ikiwemo suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, utekelezaji wa ahadi ya milioni 50 kila kijiji na mchakato wa watumishi hewa ikiwemo hasara iliyoondoka kwa kuondoa watumishi hewa kwenye mfumo.

Tufatilie leo nini kitajiri kutoka mjini Dodoma.

 
Naona JF inazidi kupoteza mwelekeo na umaarufu uanzishaji gani huu wa mada? Vijana wa ufipa mjiongeze basi jamani.jamii inawatazama
 
Back
Top Bottom