Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Tarehe 15 Juni, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Tarehe 15 Juni, 2015

1$= 1600 mwaka jana .
1$= 2100 mwaka huu.

Kwa hiyo kinachosemwa na mbatia kina ukweli tusiotaka kuukubali
 
Zanzibar naamini kuwa ccm hawatopata zaidi ya 25% ya kura na hivyo zanzibar itakuwa huru 2015. Kwa tanganyika ccm wapo maji ya shingo wameanza kunywa vikombe ndio maana kila aenaye chukua fomu anaonekana hafai. Hivyo wajiandae tu na kama lipumba alivyosema magereza yanawasubiri
 
1$= 1600 mwaka jana .
1$= 2100 mwaka huu.

Kwa hiyo kinachosemwa na mbatia kina ukweli tusiotaka kuukubali
Tukosoane mkuu NYANYADO, leo tarehe 15/06/2015 $1 = TZS 2,350/-.
Pia kuwekana sawa mwaka 2005 bajeti ya serikali ilikuwa trillion 7 na $1 = TZS 650/-
Hongera maisha bora kwa kila Mtanzania, pesa zimekuwa nyingi!

 
Back
Top Bottom