Wanasubiri wazuiliwe.....
Lissu ni noma sana hizo data daaah namtamani aiseee.
Ndo hivo,kuna wengine wameenda NMB kutazama bunge,ha ha ha.Masikini muda wangu umeenda bure
Kwa hiyo wanasubiri stop order!
huku kwetu pia hakuna umeme
Huyo ni chambi's mwarabu wa kishapu.Mkuu nilikuwa Nasikiliza kwa redio cjui ni nan aliyeomba muongozo wa kwanza kabisa
Hata jioni watazingua hivihivi walikuwa wanasoma ramani kwanza....
Mbona bunge limesitishwaaaa
Vipiiiiii