Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Februari 02

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Februari 02

Hapa ndio akili yako ilipoishia! Uwe unafikiri kabla ya kuandika uozo na kama huna cha maana cha kuandika pita kimya kimya!!! Oh! nilisahau uko busy kuhakikisha unapata ujira wako wa buku 7.

80% ya wabunge wa UKAWA ni waropokaji! CCM itatawala milele
 
Akichangia jioni hii ktka wizara ya Ardhi, nyumba na Makazi Mh. Mkosamali amesema Rais kikwete katoka uongoz wake ameweka rekodi ya kubadili baraza la mawaziri Mara nyingi zaidi na kufanya wabunge wa ccm wasiojua kusoma tu ndo pekee hawajabahatika kuteuliwa. Yaani kama hujapata uwaziri kipindi Cha Jakaya basi una gundu, alimalizia mbunge mkosamali.
 
Mwanri porojo sana, eti wanajipanga miaka 43 kuhamia Dodoma!

Hakuna Jambo Gumu hapa Tz kama kuhamia Dodoma Pesa nyingi zimetumika na kuliwa na CDA Dodoma watu wametajirika hapo hapo na hakuna Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anaweza kuthubutu kugusa hapo huu ni mladi wa wajanja wachache ambao wanajua kuwa Serikali ikihamia Dodoma watakosa ulaji wameamua kwenda slow slow ili waendelee kutafuna mapesa. Hapo CDA pakichunguzwa vizuri kuna Bomu kubwa kuliko la escrow na EPA hata Richmond hawaoni ndani.
 
Hakuna anayetaka kuhamia Dodoma, mpango utabaki kwenye vitabu tena sahau wizara kuhamia huko

Waludishe pesa zoote walizopeleka CDA Dodoma na kama hawataki Dodoma basi Serikali wahamie Songea, watu wamechoka na Foleni jijini Dsm wanataka Serikali ihamie kwingine kupunguza Foleni na misafala ya Viongozi, south Africa, Malawi, Nigeria walikuja kujifunza Tz jinsi ya kuhamia miji mipya cha Ajabu wao tayari wamehamia huko kwenye miji mipya lakini Tanzania bado inajikongoja kwa kugeuza Dodoma kuwa Mladi wa kula pesa za Serikali. CDA imulikwe kuna Mengi yamejificha humo.
 
Simbachawene akiwa Rais na kwa kuwa Dodoma ni kwao lazima atahakikisha Dodoma inakuwa mji mkuu kwa Vittendo na pale CDA atapamulika, vinginevyo UKAWA wakichukua Nchi makao makuu ya nchi yatakuwa Moshi
 
Sasa tusicheze na mbwa atatufuata mskitini. Tukichekacheka na CCM ya sasa itatuingiza matatani.
Ni wakati wa kuwapumzisha hawa jamaa zetu japo kwa miaka 5 wataondokewa na ulevi wa madaraka walio nao kwa sasa.
Nchi nyingi zimefanimiwa baada ya kuwaondoa walewa madaraka, k.m Zambia,Malawi,Kenya n.k
2. CCM imegeuka chama cha kifamilia msije shangaa Salma Kikwete akipendekezwa kugombea urais na baadaye amwachie mwanae Ridhiwani.

Nyerere hakupenda tuwe wadini/wakabila sababu alijua(aliishi ndoto zake) hizi dini zote zakuja si zetu!!! na ukabila ilikuwa tu uwekaji wa mipaka kwa ajili yao na mbaya zaidi hazitusaidii. Ndo maana akataka tuwe kama watu tusio na dini (Ujamaa na Kujitegemea). Hatukumuelewa na ndio maana haya mambo hatukujadili saana(yalikuwepo kidogo) wakati wa Mkapa(though alituletea madahaifu mengine). Alivyosema huyu bwana bado saaaaana kuwa raisi wengi hatukumuelewa, labda sasa tutaanza kumwelewa!!!! Kuongoza nchi ni kitu ingine kabisa!!!! Watch my words!!!!

Look at countries which have a stance in that mindset(Ukomunist at its basics like China). Wameprogress in a way very differrent from USA!!! May be it was a dream to him!!!!
 
Back
Top Bottom