Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 9 Septemba, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 9 Septemba, 2014

Wajumbe wanapendekeza uraia pacha uruhusiwe. Pia wanaqpendekeza viongozi wa Jamhuri ya Muunbano wawe ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar kama Makamu wa pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania. Mengine mapendekezo ya kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi.
 
!kwenye nyekundu' umeanza kugusa masilahi ya watu! ngoja waje wenyewe!

===
...na hili je, la wajumbe watano kutoka Bara!
" Baraza la Wawakilishi Zanzibar linapaswa kuwa na wajumbe 5 kutoka Bara ili kuimarisha Muungano, Mjumbe Athuman Mfutakamba asema!"
 
Kwa mara ya kwnza tangu Bunge lirejee 02 septemba, 2014 namuona Mbunge wa Monduli, Mh. EDWARD, Ngoyai LOWASSA.
 
!kwenye nyekundu' umeanza kugusa masilahi ya watu! ngoja waje wenyewe!

===
...na hili je, la wajumbe watano kutoka Bara!
" Baraza la Wawakilishi Zanzibar linapaswa kuwa na wajumbe 5 kutoka Bara ili kuimarisha Muungano, Mjumbe Athuman Mfutakamba asema!"
Hili ni Bunge huru, wajumbe wote wana uhuru wa kutoa maoni na mapendekezo kwa maslahi ya wananchi. Kama wanounga mkono uwepo wa Mahakama ya Kadhi ni wengi , hakuna sababu ya kukataliwa, ni suala la demokrasia kuchukua mkondo wake.
 
Mambo ya Mahakama ya Kadhi yanataka kuleta kambi nyingine bungeni.UKAWA walitoka na Waliobaki nao wanataka kugawanyika.teh teh teh 2/3 inaota mbawa
 
Mambo ya Mahakama ya Kadhi yanataka kuleta kambi nyingine bungeni.UKAWA walitoka na Waliobaki nao wanataka kugawanyika.teh teh teh 2/3 inaota mbawa

Mkuu mahakama ya kadhi ni kikwazo kingine....upepo wa dini umejaa vifuani mwa wachangiaji....inaonekana walikua wanasubiria zamu hii ya mjadala ili kutoa gesi hii iliyowajaa vifuani. Hii inaonesha theluthi mbili hazikupatikana katika baadhi ya kamati kinyume kabisa na uwasilishaji wa mbwembwe wa kamati ulivyojinadi.
 
Mkuu, mimi ni mzalendo nisiye na itikadi yoyote ya chama , siwezi kuacha kuwajuza watanzania kinachojiri kwa sababu tu ya watu na vyama vyao

Acha uongo kijana eti huna itikadi ya chama chochote usilete mada na uongo wako hapa,huna itikadi ya chama chochote wakati wewe ni kijani pure.Acha kujamba moshi kwa kutumia kinywa chako kijan.
 
Sasa wewe kama siyo chizi kwa nini umekuja kwenye hii mada kama huwezi na hutaki kufuatilia bunge.

Nimependa hiyo avatar yako ya rais mtarajiwa kupitia CCM so umeamua kuhamia airtel au?
 
Back
Top Bottom