Yanayojili mgogoro wa Iran, Marekani na Israel

Yanayojili mgogoro wa Iran, Marekani na Israel

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,719
Reaction score
4,992
Baada ya mawiki ya kutupiana maneno na maandalizi ya pande zote 3 hatimaye Leo mtanange umeanza rasmi.....

1. Tumeona mapema Iran ameanza kujibu na alisema ikiwa atashambuliwa basi asset zote za USA mashariki ya kati zitageuzwa target

2. Rais Donald Trump ameapa atausambalatisha utawala wa ayatollah
3. Tumeona awamu hii yanatumika mashambilizi ya makombora kuliko ndege kama mara ya Kwanzaa je USA anaogopa mifumo bora ya ulinzi au anatest Kwanza mitambo

Karibu......
 
Iran akiwa na Washirika thabiti atamudu. Lakini wakimgeuka atafurukuta tuu kwa muda ila kuanguka ataanguka.

Hapo siri ni uungwaji mkono tuu. Urusi na China wakimsapoti basi Ayatollah tunaye
 
Baada ya mawiki ya kutupiana maneno na maandalizi ya pande zote 3 hatimaye Leo mtanange umeanza rasmi.....
1.tumeona mapema Iran ameanza kujibu na alisema ikiwa atashambuliwa basi asset zote za USA mashariki ya kati zitageuzwa target
2.rais Donald Trump ameapa atausambalatisha utawala wa ayatollah
3.tumeona awamu hii yanatumika mashambilizi ya makombora kuliko ndege kama mara ya Kwanzaa je USA anaogopa mifumo bora ya ulinzi au anatest Kwanza mitambo

Karibu......
Kinachoshangaza iweje Israel kaweza peleka ndege tena ndani ya Iran pamoja na zana na silaha zote ambazo Urusi na China wamepeleka?
 
Iran labda asaidiwe na Hezbollah, iSIS, Houthi, nk. China hawezi kutia pua huko maana huwa hataki kukosana na US ili kulinda maslahi yake ya kiuchumi.

Russia ana uchovu wa vita huko kwake mwaka wa 4 huu hakijaeleweka, wapiganaji ananunua kutoka nchi zingine wasaidie kupigana, hawezi kujitwisha mzigo mwingine mpya
 
Baada ya mawiki ya kutupiana maneno na maandalizi ya pande zote 3 hatimaye Leo mtanange umeanza rasmi.....
1.tumeona mapema Iran ameanza kujibu na alisema ikiwa atashambuliwa basi asset zote za USA mashariki ya kati zitageuzwa target
2.rais Donald Trump ameapa atausambalatisha utawala wa ayatollah
3.tumeona awamu hii yanatumika mashambilizi ya makombora kuliko ndege kama mara ya Kwanzaa je USA anaogopa mifumo bora ya ulinzi au anatest Kwanza mitambo

Karibu......
Tunafatilia kwa wivu mkubwa mpaka mshindi apatikane. 🫵🏿
 
Wale wazee wakuu wapo mezani wanachezesha karata tu, fumba na fumbua wote mmeshabanwa.
PLANNED
 
Iran akiwa na Washirika thabiti atamudu. Lakini wakimgeuka atafurukuta tuu kwa muda ila kuanguka ataanguka.

Hapo siri ni uungwaji mkono tuu. Urusi na China wakimsapoti basi Ayatollah tunaye
tunaye wapi? Unaambiwa hayupo tehran wamemkimbiza mafichoni kusikojulikana kwa usalama wake
 
Unaambiwa US begins major combat opperation in Iran, Iran under attack, imewekwa kati inapigwa mtungo imechanganyikiwa inajitupia hovyohovyo vikombora vyake kunako asset za marekani huko nchi za ghuba ya uajemi. Fikiria hizo nchi nazo ziamue kuingia vitani, iran itaponea wapi?
 
Kinachoshangaza iweje Israel kaweza peleka ndege tena ndani ya Iran pamoja na zana na silaha zote ambazo Urusi na China wamepeleka?
Kinachonishangaza ni inakuwaje mashambulizi ya kushirikiana mataifa mawili yawe yamekaa kinyonge sana kulinganisha na mashambulizi yaliyofanywa na Israel peke yake katika siku ya kwanza katika ile vita ya siku 12!?
Hawana intelligence ya kutosha baada ya maspy wao kuchinjwa au USA/Israel wamekuwa dhaifu?

Tuliambiwa nusu ya missile launchers ziliteketezwa na jeshi la Israel, imekuwaje leo hii tena mapema kabisa Iran imeweza kujibu mashambulizi haraka sana, kwa kupiga Israel na US military bases karibia zote middle east!?
 
Back
Top Bottom