Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
asante asante asante sana
MPEMBA MBISHI ASEME SASA
Lakini si afadhali wamekwenda waambie CUF waende Arusha tuone.duhu. Yaani idadi kubwa ni viongozi kuliko wasikilizaji? Kama arusha na Moshi tungalishuhudia vionjo vya picha kila aina
Ndiyo hii ni CDM bana..mpaka Zenji,haya semeni sasa.Mtauwawa bure?
Lakini si afadhali wamekwenda waambie CUF waende Arusha tuone.
Duh! Umati wa watu, kumbe muungano bado wanaukubari!
Kanchi kadogo kuliko jimbo la ubungo ila kelele kibao............. Afterall hilo ni bao la kisigino kaendelezeni majengu mzalendo.net:eyebrows:umati wa viongozi. yaani Chadema wajipange tu Arusha. huku kwengine waache tu wenye meno watafune
kumbuka kule ni kijijini.lakini pia population ya zbr ni ndogo sana.usisahau