Yanayoendelea USA yamelivua nguo taifa hilo

PintoG

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
612
731
Ukikaa kwenye TV na kuangalia channel za magharibi ,au kusikiliza redio za magharibi utapata picha kuwa ,marekan ni sehemu yenye kila aina ya utulivu, haki za binadamu, utajiri na hakuna umasikin, hakuna ombaomba nk.

Lakin pia ukiangalia sinema za zaman za kicomando utaamin vita vya Vietinam wamarekan hawakufa kabisa,ila maadui wao walikuwa wanakufa kama kuku.

kifo cha George F, kimeibua mambo mengi sana hasa kuonesha kuqa Marekan pana ubakuzi mkubwa wa rangi na uvunjwaji mkubwa wa haki za binadamu tofaut na unavyoweza fikiria.

Wakati taifa hili linapopigia kelele inchi zingine kama china na inchi za kiafrica unaweza dhani wao ni watakatifu kabisa.

Haya yanayotokea yangekuwa zimbabwe, au popote ,taifa hili lisingechelewa kusikia likitaka kuweka vikwazo.

Wamarekani weusi wajue hakuna siku ubaguzi utaisha marekani,bali ni kupunguza tu kuudhihilisha.

Lakin pia tunataman kumpata Martine L King mpya.
 
Back
Top Bottom