Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,574
- 38,169
Ya Iran hatuyapambanii, bali tunayafuatilia, ya kwetu hayatuhusu tena, yamechukuliwa na kikundi cha wachache.
Ila Kutaka Kuiaminisha DUNIA Yakwamba IRAN Bado Hali Nitete Ni Matumizi Mabaya Ya Taarifa
Ila Nikujuze 2 IRAN Kwa Asilimia 80-85 Imerejelea Katika Hali Yake Yakawaida
Tuliwaambia Kabla Yakwamba IRAN Itayashinda Haya Majaribu Kama Ilivyokua Mwaka 2009 Ila Hamkuamini
Sema Tuu Mulioyatarajia Kwamba Yangeikumba IRAN Kwabahati Mbaya Ama Nzuri Hayajatokea
IRAN Net Imerejelea RASMI Kwa Asilimia 90-100
Inawezekanika Kweli Ikawa Unayafuatilia Ya IRAN Ila Hutoi Hali Halisi Ya Yanayojiri IRAN IRAN Ilikua Ina Maandamano Sehemu Kubwa Ya Mikoa Mikubwa Siku Kadhaa Ikapelekea Mpaka Kukatwa Kwa NET Hili Wala Halina UbishiYa Iran hatuyapambanii, bali tunayafuatilia, ya kwetu hayatuhusu tena, yamechukuliwa na kikundi cha wachache.
Acha tufuatilie ya wenzetu labda kuna kitu tutajifunza au ikatusaidia kupoteza mawazo.