Yanayoendelea kwenye Nchi zetu za Afrika yalitabiriwa.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Nimeona Jamaa mmoja amepost kipande cha wimbo huu kwenye Account yake ya Facebook. nami nikamwelewa haraka sana. Huu wimbo ni wa Siasa ingawa ilikuwa miaka hiyo wakati watu weusi wakinyanyaswa na Weupe. Mods narudia kusisitiza ni Siasa maana mnaweza dhani ni wimbo wa kawaida tu. Nimewaza huu wimbo na kuusikiliza baada ya kuangalia miaka yote wakubwa wanavyojisahau na kutumia pesa zao kunenepesha matumbo yao na familia zao tu.

lakini ni hawa hawa wanaopita mitaani na kwenye vyombo vya habari wakisema kuwa wao wanajali maslahi ya wananchi. hawa wanaopokea posho ya siku moja ambayo ni sawa na mshahara wa mtu wa siku 30. wao wanapata kwa masaa machache ambayo wanayatumia bungeni kupigana vijembe,kutukanana,kudhalilishana,kusinzia,kushabikia n.k lakini bado wakiwa kwnye majukwaa na vyombo vya habari husema wanapigania maslah ya wananchi. msikilize BOB Marley haalfu tufanye wote uchambuzi kama wasomi. nimechukua tu vipande vya mashairi ili kutojaza maneno mengi.

How can you be sitting there - hawa wabunge wetu, viongozi wetu wa
Telling me that you care - wanawezaje kukaa maofisini /bungeni wadai kuwa
That you care? wanajali? ukiangalia kila sehemu wananchi wanateseka
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In everyway, in everywhere.

I tell you what: some people got everything; kuna baadhi ya watu wanapata kila kitu katika
Some people got nothing; katika maisha yao. wengine wanapata matumaini na
Some people got hopes and dreams; na ndoto tu. wanatumaini siku moja maisha yatakuwa
Some people got ways and means. mazuri. wengine wanaishia kuota tu kuwa wana
nyumba,gari,kazi maisha mazuri. wakati wengine wao
Yes, we're the survivors, like Daniel out of the lions' den wana namna mbalimbali za
(Black survivors) Survivors, survivors! kuwawezesha kupata watakavyo. maisha kwa wengi
So I Idren, I sistren, yamekuwa magumu. watu wanateseka. kuna wabunge wanaenda
A-which way will we choose? bungeni kufanya komedi,kukebehiana,kutukanana,kuoneshana
We better hurry; oh, hurry; oh, hurry; wo, now! ubabe na kuwasahau wananchi wenye shida.
'Cause we got no time to lose. huko bungeni kuna wenye kuongea ukweli na kujadili
Some people got facts and claims; matatizo ya wananchi. kuna wenye kwenda kuonesha kibri
Some people got pride and shame; majivuno na kuaibisha taifa hili..... haya ni mawazo ambayo
Some people got the plots and schemes; nimeyapata toka kwenye huu wimbo wa bob M.
Some people got no aim it seems! survival ingawa yeye miaka hiyo alizungumzia weusi dhidi ya wazungu. lakini sasa ni weusi dhid ya weusi wenzao.
 
Big up sana kwa kunikumbusha huu wimbo! It's typical of what is going on in Africa. Bob Marley ataishi sana, nyimbo zake ni falsafa isiyo ya kawaida!
 
Back
Top Bottom