Yanapokosekana Mafuta hata maji mtu hujipaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanapokosekana Mafuta hata maji mtu hujipaka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sonara, Mar 31, 2011.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  :teeth:

  Necessity, they say, is the mother of invention...but this an adage Isiolo residents have taken to another level, quite literally...this because there are people in the area who have finally decided to take all necessary measures to combat the high rate of HIV prevalence in the area ... Only that their way of going about arresting the spread of the virus is not one you would consider orthodox. Here's Evelyn Wambui with the story of people that have resorted to re-using condoms or plastic paper bags, due to the scarcity or unavailability of condoms in the area.
  http://www.youtube.com/watch?v=Q1Uim1H_sWM&feature=player_embedded
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.....mshahara wa dhambi ni mauti....hivi sex imekuwa chakula au hewa jamani kwamba ukikosa unakufa mtu anashindwa kuvumilia hadi aoshe condom au kurudia kutumia??:disapointed:
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  habari yako dear,
  long time NO see U!!!!!
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli hii ni mpya.

  Kinachonisikitisha ni huo umasikini wa kutupwa wa wananchi wenzetu wa kushindwa kununua hizo zana.
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Yah hii isue ilionyeshwa last week na tayari Wizara ya Afya ya Kenya imeshachukua hatua kuagiza condom za kutosha
   
 6. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Usifanye mzaha na kitamtamu cha mwili kuna baadhi ya watu hujinyonga kwa kuikosa sehemu ndogo kama hiyo ambayo ikipimwa kwenye ratili hata robo wakiya haifiki
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Nilisikia hao vijana wakihojiwa BBC..wanasema hata kuazimana wanaazimana ikibidi...hakika kichefuchefu
   
Loading...