Niliwahi kukusanya video hizi na picha za miji na majumba yaliyojengwa na viongozi halafu yakabaki magofu baada ya uongozi wao kuisha. Ukiacha miji hii ya Yamoussoukro na Gbadolite kuna majumba mengi ya kifahari yaliyoachwa na viongozi ambayo sasa ni magofu.
Palaces nyingi za Saddam Hussesin zilizokuwa kaskazini mwa Iraki zimebaki magofu tu; zilizopona ni zile zilizokuwa
Baghdad, lakini zile za kaskazini zote hazipo tena.
View attachment 1799493
Palace ya Mfalme haile Serrassie leo hii ni gofu; ndani ya jumba hili ndimo Ojukwu na Gowon walijaribu kupatanishwa kumaliza vita ya Biafra bila mafanikio.
View attachment 1799479
Lodge ya Idi Amin huko Pakuba leo hii ni gofu. Amini alikuwa akija kupumzika hapa na mmoja wa wake zake karibu kila wikiend kwa helicopter.
View attachment 1799490