Yametia

Yametia

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Msumbufu mkubwa wa JF hasa hapa jukwaa la Jokes WA KUSOMWA amepigwa bann nimeona hapa< Wa kusoma, Banned>
 
Msumbufu mkubwa wa JF hasa hapa jukwaa la Jokes WA KUSOMWA amepigwa bann nimeona hapa

Ana ID nyingine muda si mrefu atakuja kivingine. Sema tofauti kubwa hutamjua kama ni Wa Kusomwa.
 
huyu wakuRead anawasumbua ninyi tu tena natamani aje kivingine aone nitakavyompelekesha akishindikana namshika wowowo lake lazima awe mpole kama vile namkuna
 
huyu wakuRead anawasumbua ninyi tu tena natamani aje kivingine aone nitakavyompelekesha akishindikana namshika wowowo lake lazima awe mpole kama vile namkuna

We bwe.e kweli sasa akirudi utamfanyaje? Kwanza mm nawashangaa sana modes huyu dogo aliomba bann la siku 5 sasa wamempiga la siku 30.
 
we bwe.e kweli sasa akirudi utamfanyaje? Kwanza mm nawashangaa sana modes huyu dogo aliomba bann la siku 5 sasa wamempiga la siku 30.

hivi siyo wewe wa kusoma? umejuaje kwamba aliomba siku tano wkt hii ndiyo thread yako ya kwanza.
 
Msumbufu mkubwa wa JF hasa hapa jukwaa la Jokes WA KUSOMWA amepigwa bann nimeona hapa< Wa kusoma, Banned>
Dah AFADHALI sasa tunaweza kula X-MASS kwa amani na upendo.Thanks MODS for your action.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom