Hebu uje kwa pm tuongee ishu moja, achana na huyo anaekaa kwa shemeji mwisho atapewa na boxa afueEvelyn;
Ukiwaambia hivyo wanasema; Mswalie Mtume yakhee. Kumbe huo ndo ukweli. Kama kishafika mahali pa kumwambia; dadako katoka, kaniwekee maji ya kuoga.....Wataka lugha gani?? Fumbo, mfumbie mjinga, ila mtoto wa mujini atalifumbua hilo.