Yamenishinda, nachongesha sanduku bubu

kambagasa

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
2,261
1,785
Nimejaribu kujipa moyo labda mkubwa atajirudi na kujitazama baadhi ya maamuzi yake lakini wapi. Biashara imekuwa ngumu sana kwa sisi underground ukizigatia wengine tumekopa kwenye taasisi za pesa kama bank na saccos, kwa hili acha niitwe mshamba.
c436098f40669a3ba273aa1b622cb129.jpg
 
Back
Top Bottom